Djuma ni overrated player

Nimezungumzia mechi moja maana ndio mechi pekee iliyokuwa na ushindani. Ni ajabu sana kama Djuma anapata fatigue kwa mechi 2 tu. Kina Feisal wamecheza kuanzia Champions league na hawana fatigue. Djuma kacheza mechi 5 tena rahisi ameshavurunda.
Kuhusu kapombe binafsi nakubali naye ana uzembe sana ila kuna tofauti ya mchezaji local na wa kigeni. Kuna yule sijui Bryson ana kiwango kuliko Djuma.
Na nikushukuru kwa kukiri uchovu umemshika... Kwa maneno mengine umekiri ni overrated, hana uwezo wa kuhimili ligi yetu.
 
Makolo wanapenda sana kujitekenya na kucheka wenyewe
 
Yule ni beki unataka achezeje?.Mimi ni shabiki wa simba ila hadi sasa naona wachezaji wote waliopata kucheza wa yanga wako vizuri kulingana na timu yenyewe ilivyo dhidi ya timu zetu zakibongo.
 
Kwahiyo BANDA na KANOUTE sio overrated??? Huna akili
 
Djuma ni gari ya mkaa ,trip shamba,trip garage,yule anamajeruhi ya kudumu hawwzi mziki wa kibabe
 
Hivi kwenye tuzo kule Kongo alitokea? Au ndo Magarasa wa Kongo?

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Usajili wa maana walioufanya utopolo ni kwa haya majamaa matatu. Sina uhakika sana kwa Makambo sijamuona akicheza sana.

Ila Djuma Shaban na Mayele hapa utopolo wamepigwa.
Kama mlivyopigwa kwa Kibu Denis
 
Acha upuuzi djuma hadithi nyingine ioa sil kila siku mchezaji yuko sawa,pia kumbuka jamaa anacheza kwa akili sana asije kuumia

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mashabiki mandazi wa simba endeleeni kuqngalia pila Gimbi la Simba Mbovu ya wazee na watoto wa shule.

Wakina Kibu wanaocheza utadhani wana funza miguuni.
Tuliza kishundu,mtaishia lile birika lakuvutia shisha ila ubingwa hampati
 
Mchezaji bora ambaye yanga wamemsajili ni Aucho pekee, wengine wa kawaida sana.
 
Unajua hata receiving techniques za mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…