Mbona umeongelea mechi moja tu ya Jana ndo umemtazama ukaja na conclusion yako, vp mechi nyingine ukumtizama? Mchezaji kuwa underperformance kwa mechi moja ni kawaida sana, kumbuka yanga amecheza mechi 2 ndani ya siku 4 tena mechi ngumu ambazo wametumia energy kubwa Sana, kiufundi lazima kuwepo na wachezaji ambao wamepata fatiq kwakuwa awapati mda mzuri wa kurecover kutokana na mechi kuwa karibu Karibu, ivyo basi kiwango cha shaban juma jana ni uchovu huo, mbona mechi nyingine anaperfom vizuri, alafu unakuja kumlinganisha na Inonga ambae anacheza nafasi tofauti kabisa sijakuelewa ulikuwa unamaanisha nini, mbona kapombe wenu anacheza chini ya kiwango kwaiyo na yeye ni mchezaji mbaya?