Djuma ni overrated player

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…
Kweli Sikio kufa halisikii Dawa
Makolo mpo bize kuchambua kikosi cha Yanga yenu yamewashinda.
Najua ndio mnatafta wachezaji wa kusajiri msimu ujao from Yanga Ila subilini basi msimu uishe tutakaa mezani Tuwapatie players wengine zaidi ya Morrison.

Makolo acheeni Taarabu chezeni mpira
 
Maelezo marefu ya taarabu kabisa haya.
 
Tangu ligi imeanza djuma ameumia lini?

Vp kuhusu mugalu? na sakho? kagere na boko
Tunaongelea djuma ,hao wengine ukitaka wafungulie uzi wao tutawaongelea,kule DRC djuma anajulikana hivyo,mechi tano bench miezi sita
 
Tunaongelea djuma ,hao wengine ukitaka wafungulie uzi wao tutawaongelea,kule DRC djuma anajulikana hivyo,mechi tano bench miezi sita
kwani sahivi unajua amecheza mechi ngapi? au unawashwa nyuma?
 
Lakini namba hazidanganyi.

Kibwana shomari -1 assist
Djuma shaban - 1 goal

Kapombe - back pass105,800000

Zimbwe - shoot off target 1000000000

SOURCE: Mpiratakwimu
Jana kagere alipatiwa assist na Kibwana siyo?
 
Hongereni nyie mliofanya usajili wa maana[emoji851][emoji851][emoji851]

Banda mtafugia kuku,Inonga Kung Fu huuu-haaa[emoji51]

Kolo goli 3-Feisal goli 3[emoji1787]

Nani mwingine hivi mmesajili???
 
Hongereni nyie mliofanya usajili wa maana[emoji851][emoji851][emoji851]

Banda mtafugia kuku,Inonga Kung Fu huuu-haaa[emoji51]

Kolo goli 3-Feisal goli 3[emoji1787]
Mmetangulia na baiskeli ya biscuit tu...
 
Usajili wa maana walioufanya utopolo ni kwa haya majamaa matatu Bangala, Aucho na Moloko. Sina uhakika sana kwa Makambo sijamuona akicheza sana.

Ila Djuma Shaban na Mayele hapa utopolo wamepigwa.
Peleka timu yako ukione cha moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…