Djuma ni overrated player

Djuma ni overrated player

Djuma shabani ndo mchezaji pekee kutoka ligi yetu aloitwa timu ya taifa ya Congo Dr
 
Jana kwa mara ya kwanza nilitazama mechi baina ya Yanga na Ruvu. Nilimtazama kww makini mchezaji Djuma Shaban aliyesajiliwa kwa mbwembwe na kuwekwa kurasa za mbele za magazeti.

Kusema kweli hana maajabu hata kidogo. Anapoteza mipira kizembe sana, hana utulivu mchezoni.

Mwanzo alihusishwa na kutakiwa na Simba ila baada ya kumtazama jana nimeelewa ni kwanini Simba waliamua kuachana naye badala yake wakamsajili Inonga.

Djuma Shabani ni mchezaji overrated sana.
Hapo hajaanza majeruhi yake ya kukaa nje ya uwanja mwaka mzima
 
Back
Top Bottom