Dk. Bashiru ampa elimu ya uongozi Freeman Mbowe

Hapa Mbowe anasemaje kubusu Mdude?
 
Pia amuombee msamaha wa kufoji vyeti na kutumia jina mtu mwingine kinyume na taratibu za nchi,.kuua na kuteka watu kumbakia watu kesi za uongo ili kuwakomoa.
 
Hivi CHAMA CHA MAFISADI wanaweza kutoa fundisho gani kwa wengine?
 
Ebu acha hizo akina makonda na magenge yake wanavyoteka na kuua watu ww waona ni sawa. Yaani kuambiwa ukweli ndio matusi. Lisu kusema tunataka utawala Bora na katiba ndio matusi kweli jitafakari naona ww ujajua dunia inaelekea wapi
 
Kweli, Bashiru ametufundisha mengi tangu zamani

Hata siku anamwita former minister ndugu Membe akiwa jukwaani bila kufuata utaratibu wowote tulijifunza mengi sana.

Keep on teaching us Bashiru
 
Kwani bashite alitamka mtandaoni au mbele ya waombolezaji

Vijana wa ccm wote akili hamna
 
Jikite kwenye hoja
Mbona hoja yenyewe ina matege? Atajikitaje sasa? Hebu isome title na kisha content Kama hujaona zinavyoachana! Haziendani kabisa!
Nyakati nyingine muwe mnaukubali ukweli kuwa mmezidiwa sana. Na waambie hao ccm wenzako kuwa, siasa kwenye misiba haina tija!
 
Bungeni kuna spika sasa Vilevile kuna tofauti ya mawazo ya mtu na matusi huwezi kuzuia mawazo ya mtu binafsi hiyo sio demokrasia kama mambo wakati wa Kikwete yaliruhusiwa ni kwanini sasa kwa Magufuli hayaruhusiwi?
 
Ushabiki wa aina hii ndio ulioifikisha nchi mahali ilipofika. Una tetea kwamba kauli za vijana wa CCM zinatafsiriwa ndivyo sivyo na wakati huo huo unatafsiri kauli za wasiokua CCM kuwa ni matusi? Na unakubali kwamba kuna kauli tata zinazotolewa na wana-CCM? Naona ni kama vile huna msimamo unafuata tu upepo. Tena kwa kutokujua ama kwa makusudi umetoa jibu ambalo wengi wanajiuliza vichwani, kwamba wasiojulikana ni kina nani? Kumbe wewe unawajua wanaoteka watu kwa kutafsiri hoja zao kuwa ni matusi? Dr Bashiru amemuombea msamaha kiongozi mwenzake kwa sababu amejiridhisha kwamba kweli kuna kosa limefanyika, na amekiri kwamba sio mara ya kwanza, na pia amekubali kwamba makosa ya aina hiyo yanatokea kwa sababu wao kama wazee wameshindwa kuwaandaa vijana kuwa viongozi bora, na hili limedhihirika hata kwako badala yakusimama kwenye ukweli kwa faida ya taifa kwa ujumla, wewe unabaki kwenye propaganda na ushabiki wa chama. Badilika kuwa na msimamo kwa taifa lako achana na ushabiki.
 
Kwa hiyo Mbowe hasitahili kuwafunda wafuasi wake akina Mdude ?
 

Mkuu kumbe pale ni swala la chama na sio utu dhidi ya lugha kwa ukabila duh sijafikiri kabsa hili duh bora ukabila kuliko huu uchama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…