Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
aliteuliwa tar 26 februali na kutumbuliwa tar 31 march! kwani mama alimuondoa haraka sana je alikuwa kirusi? kwa nini hakumpa muda hata wa mwaka mmoja kuna mahali huenda hawakuwa sawa hata kabla ya magufuli kurest in peace? je mama hakupendezewa na uteuzi wake? na hayo yanayotokea sasa msigano uliopo chinichini tangia muda mrefu? BASHIRU ALLY HANA FURAHA KWA SASA