Dk Bashiru: Vyama vya upinzani vitakufa kimoja baada ya kingine

Amesahu Kuwa vyama vya upinzani haviuwawi na maneno! Kibaya zaidi atakufa yeye na vyama upinzani vitabaki
 
CCM ilimfia Kikwete, Upinzani umebakia kupambana na JPM, Mahakama, Bunge, Tume ya Uchaguzi, Msajili wa Vyama vya Siasa, majeshi yote ya Tz.
 
Nadhani amepatwa na uwendawazimu. Eti vinaibuka wakati wa uchaguzi!! Hajui aliyevizuia visifanye kazi wakati wote?
 
Halafu mapema tu walishasema watahakikisha upinzani haufiki l2020.
 


 
Haviwezi kufa kimoja baada ya kingine Bali wataua kimoja baada ya kingine.Ni kweli wataviua ila hawataweza kuua upinzani.
 
Yeye ni katibu wa chama gani wakati ccm iliishatekwa na polisi na wale wanaojiita wasiojulikana. Ccm is a defunct party.
 
Maneno hayo ameyaongea wakati yuko kwenye hedhi.

Hawezi mtu akafanya wanachofanya kwa wapinzani kisha akasema anayosema akiwa timamu
 
Nae huyu chizi kweli ameanza kuwa kama alivyosema bosi wake jiwe alivyokuwa mgeni geni pale ferry nakumbuka alisema watu walizoea kuishi kwa dili baada ya Mimi kuingia madarakani wapiga dili wore mtahama hapa Mjini matokeo yake naona kaanza kuhama yeye nasikia kishahamia dodoma
 
Mh.Bashiru Ally,hivi vyama umevikuta ulipoteuliwa kuwa Katibu Mkuu,amini utauacha Ukatibu Mkuu lakini hivi Vyama vitaendelea kuwepo hivyo kuviua haiwezekani sana sana mtawasumbua viongozi wanachama,na wafuasi wao lakini Mungu hulipa hapa hapa duniani.
 
Sio watanzania wote ambao watakubaliana na maneno ya kejeli ya Dk Bashiru.
Nimejisikia nimetukanwa, na kulagahiwa na maneno haya...kuwa "Vyama vya siasa hujitokeza wakati wa uchaguzi..."

...na mengine kedekede. Akumbuke kuwa ni CCM kwa kutumia Kofia ya Dola, ambaye ilisitisha Vyama vingine vya siasa kukutana na wananchi kwa sababu za Kiwoga na sintofahamu baada ya kupiga hatua kubwa katika nyanja za siasa shiriki.

Dk, mimi binafsi nimeguswa na hayo na ni uamini wangu kuwa wapo wengine waliopatwa na jazba za kulagahiwa na na maneno hayo ya Kejeli. Mimi sio mpinzani, mimi sina chama, bali ni Mwananchi na ni Mtanzania Jeuri.

Mimi Jeuri kwa vile na jali Jamiii
Mimi Jeuri kwa vile na jali Elimu
Mimi Jeuri kwa vile na jali Utamaduni
Mimi Jeuri kwa vile na jali Rasilimali
Mimi Jeuri kwa vile na jali Imani....za Mtanzania na MwaAfrika
...kwa hayo, pale nitakapo Ona , kusikia,na kuhisia ukandamizaji wa JEURI yangu, kwa haki niliyotanguliziwa na muumba, na Katiba ya nchi yangu basi sinto kaa pembeni na kukubali kufiligiswa na kulagahiwa.

Mtazamo wangu ni kuwa Dk. Bashiru, kaka yangu, haujanitendea haki na kwa JEURI yangu, nikuombe kuacha kulaghai.
Aluta Continua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…