Dk. Kijo bisimba ageuka kuwa msemaji wa ukawa!!!

Jamani kuna ukweli kidogo hapo..huyu mama si yule aliyeshiriki sinema ya Ulimboka maana yeye alikuwa ndio mtu wa kwanza kumuokota na kuanza kuongea kwamba alitekwa na usalama wa taifa...Kuna na yule mmachame mwenziwe Anna Nkyaa nae huwaga anaongelea siasa muda wote na kusahau uanaharakati..ila mi najua yote ni njaa tu.
 
huyu mama na taasisi zao niwadini sana.waislam wana pigwa lakini cjawai kumwona akiikemea serikali
SIO UDINI TU..kuna hadi ukabila kaulize tu watendaji wa pale wanatoka pande zipi
 
Heeeee we mama ckuhiz umekuwa mwanasiasa tena, huko kwenye siasa hakukufai na haukuwezi, nimefatilia hojza zako nimegundua kuwa unakosea kwa kupotosha umma hasa kuitaka serikali kuachana na mpango huu mahsusi wa katiba, we wapi LHRC imekushinda mpaka ujikite huko au umetumwa na hao UKAWA? Lol
 
Fungua thread ya kuitangaza iyo TLP yako hapa umepotea njia watu tunajadili mada wew unatuletea upuuzi wako wa lichama ambalo lishajifia miaka mingi hapa
We mbna hueleweki, umetumwa kuja kusemea watu au?
 
Huyu mama fyatu kweli sijui ukawa wanamlipa kiasi gani kuwa mseamji wao.

MJEPO Kiazi sana wewe inamaana hujui nini maana ya haki za binadamu na wanatetea nini,hujui ata chama chochote cha upinzani utetea na kupinga yale ya chama tawala.
Nauza dawa ya kuondoa gasi ya maharage,wewe umekula ya wapi?
 
 
Hakuna chama kinaitwa ukawa mtoa mada ujue na km kakiuka subiri
 
MJEPO Kiazi sana wewe inamaana hujui nini maana ya haki za binadamu na wanatetea nini,hujui ata chama chochote cha upinzani utetea na kupinga yale ya chama tawala.
Nauza dawa ya kuondoa gasi ya maharage,wewe umekula ya wapi?
Hiyo dawa c ukawauzie hapo kwenu wewe, huyo mama fyatu kweli cjui analipwa kiasi gani maana anaonekana ni mchumia tumbo wa Ukawa.
 
 
kiongozi tupe data zaidi!

kijo alipopigwa ulimboka alikuwa upande wa ulimboka.madaktari walipofanya mgomo akawa upande wa madaktari.
yeye kama nimteteaji wa raia hakuona vifo vya waliokuwa wanakufa kutokana na mgomo ule?

mwangosi alipo pigwa bomu lile kijo na wenzake wakaleta kelele zao.bomu la arusha kanisani akapiga kelele.

shekhe ponda kapigwa risasi na polisi huyu mama sikumsikia akileta hizo kelele zake je ponda siyo binaadam?
au taasisi yao ipo kwa niaba ya cdm na wakristo pekee?
 
huyu mama na taasisi zao niwadini sana.waislam wana pigwa lakini cjawai kumwona akiikemea serikali

Sasa kama waislamu wanapigwa huyu mama anausika vipi na ugomvi wao,kama ni kupigwa na polisi na hao polisi ni dini kama wao-Wapi Suleman Kova,Said Mwema,Mahta hawa wote ni ugomvi wao mama hausiki nasema hausiki.
 
Hiyo dawa c ukawauzie hapo kwenu wewe, huyo mama fyatu kweli cjui analipwa kiasi gani maana anaonekana ni mchumia tumbo wa Ukawa.

Nyumbani kwetu hatuna wahanga wa gasi ya maharage,wahanga wapo Lumumba na Act,mana harakati zinawaingia wanastuka kujifunika kumekucha.
UKAWA ni tipa ya magonjwa yanayo enezwa na kirusi ccm na huyu mama ni dkt.So wacha dawa iwaingie.
 
Mkuu,

Unaonaje kwanza ukibainisha mipaka iliyopo kati ya HAKI ZA BINADAMU" NA "KATIBA YA NCHI" ili umfundishe sawa sawa huyu mama anapoongelea haki za binadamu asizungumzie kabisa masuala ya "KATIBA YA NCHI", NA MICHAKATO HUJUMU"?.

Katika maelezo yako, usisahau kukataza watu kuwa proactive. Wahimize wawe reactive, ili wawe wanasubiri madhra yametokea, ndipo waanza kuzima myoto!.


Pengine kwenye utangulizi wa majibu yako, uzungumzie kwa nguvu sana na mimi nielewe mantiki ya "KATIBA YA NCHI KUWA YA WANASIASA'!.

Naona niishie hapa, nisije nikakuonyesha sura yako ukasema nimekutukana imbecile!.


 
Sasa kama waislamu wanapigwa huyu mama anausika vipi na ugomvi wao,kama ni kupigwa na polisi na hao polisi ni dini kama wao-Wapi Suleman Kova,Said Mwema,Mahta hawa wote ni ugomvi wao mama hausiki nasema hausiki.

Issue hapa huyo mama ni kiongozi wa Chama cha Siasa wala sio NGO inabidi wachunguzwe wanafanya siasa hawa ni wapinzani hasa na ukiwakuta kwenye television wanapinga kila kitu kinachopita mbele yao?wana roho gani hawa hata siku moja ni hakuna jema la Serikali wao ni kulalamika tu!wapewe usajili wa Chama cha siasa hawa!
 
CCM wana madhambi yao, lakini huyu mama simpendi kabisa tabia yake. Toka pale alipoungana na madaktgari waliogoma ambapo watanzania wanyonge kwa dazani kadhaa walikufa huwa namuona hafai kabisa. Hana uzalendo. Ila naelewa kwanini anafanya hivyo. NGO hizi ni lazima ziwe hivyo kwani vinginevyo hazitapata fedha kutoka ulaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…