Mwakaboko King
JF-Expert Member
- Apr 22, 2015
- 1,099
- 207
- Thread starter
- #41
Unamsema Mpanju yupi??, Yule wa CCM kwa tiketi ya wenye Ulemavu kwenye Katiba ya Chenge???
Ndugu umeelewa lakini unachochangia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamsema Mpanju yupi??, Yule wa CCM kwa tiketi ya wenye Ulemavu kwenye Katiba ya Chenge???
SIO UDINI TU..kuna hadi ukabila kaulize tu watendaji wa pale wanatoka pande zipihuyu mama na taasisi zao niwadini sana.waislam wana pigwa lakini cjawai kumwona akiikemea serikali
Ndugu umeelewa lakini unachochangia?
Heeeee we mama ckuhiz umekuwa mwanasiasa tena, huko kwenye siasa hakukufai na haukuwezi, nimefatilia hojza zako nimegundua kuwa unakosea kwa kupotosha umma hasa kuitaka serikali kuachana na mpango huu mahsusi wa katiba, we wapi LHRC imekushinda mpaka ujikite huko au umetumwa na hao UKAWA? Lol
Kati ya mambo ambayo yananishangaza ni baadhi ya viongozi wa Asasi na Taasisi za Kiraia kusahau majukumu yao na kuanza kuwa wasemaji wa vyama vya Siasa, hili la Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC kugeuka mtoa matamko ya UKAWA kwa kujipa majukumu yasiyo yake kutoa matamko ya kuikataza Serikali kutokujihusisha na shughuli ya upatikanaji wa Katiba mpya halipaswi kuungwa mkono.
Kiongozi huyu ameigeuza taasisi hiyo jukwaa la Siasa na kusahau kabisa kuwa taasisi anayoiongoza pamoja na mambo mengine haitakiwi kufanya siasa la sivyo aende kwa msajili akakisajili kuwa chama kipya. Kwa namna yoyote ile huwezi kuitenga Serikali katika kutimiza wajibu wake katika hili ili hatimaye Tanzania tupate Katiba mpya!Mchakato huu hauwezi kusimama peke yake bila Serikali kuhusika hilo alijue na si kama anavyofikiri yeye. Na kama basi anataka kuwatumikia wananchi kwenye masuala ya siasa ajiunge na Chama kimojawapo cha siasa tujue moja ili aache kufanya Siasa ndani ya LHRC!
Mungu Ibariki Tanzania!
We mbna hueleweki, umetumwa kuja kusemea watu au?Fungua thread ya kuitangaza iyo TLP yako hapa umepotea njia watu tunajadili mada wew unatuletea upuuzi wako wa lichama ambalo lishajifia miaka mingi hapa
Huyu mama fyatu kweli sijui ukawa wanamlipa kiasi gani kuwa mseamji wao.
Kati ya mambo ambayo yananishangaza ni baadhi ya viongozi wa Asasi na Taasisi za Kiraia kusahau majukumu yao na kuanza kuwa wasemaji wa vyama vya Siasa, hili la Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC kugeuka mtoa matamko ya UKAWA kwa kujipa majukumu yasiyo yake kutoa matamko ya kuikataza Serikali kutokujihusisha na shughuli ya upatikanaji wa Katiba mpya halipaswi kuungwa mkono.
Kiongozi huyu ameigeuza taasisi hiyo jukwaa la Siasa na kusahau kabisa kuwa taasisi anayoiongoza pamoja na mambo mengine haitakiwi kufanya siasa la sivyo aende kwa msajili akakisajili kuwa chama kipya. Kwa namna yoyote ile huwezi kuitenga Serikali katika kutimiza wajibu wake katika hili ili hatimaye Tanzania tupate Katiba mpya!Mchakato huu hauwezi kusimama peke yake bila Serikali kuhusika hilo alijue na si kama anavyofikiri yeye. Na kama basi anataka kuwatumikia wananchi kwenye masuala ya siasa ajiunge na Chama kimojawapo cha siasa tujue moja ili aache kufanya Siasa ndani ya LHRC!
Mungu Ibariki Tanzania![/QUOTEY
Tatizo la Serikali nyingi za kiafrika zinataka kuona kila mtu akiziunga mkono,hata kama zinakosea au kwenda kinyume na matarajio ya wananchi ambao ndio waajiri wa viongozi wetu
Hazitaki kabisa kuona kuna watu kama hawa ambao wanazi-challenge.Ukizo-challenge unaitwa mwanasiasa
Huyu Mama anafanya kazi nzuri sana,isipokuwa tu kwa mtazamo ule ule lazima ataonekana mbaya kwa sababu anakosoa,anaelemisha na amekuwa mkweli
Hiyo dawa c ukawauzie hapo kwenu wewe, huyo mama fyatu kweli cjui analipwa kiasi gani maana anaonekana ni mchumia tumbo wa Ukawa.MJEPO Kiazi sana wewe inamaana hujui nini maana ya haki za binadamu na wanatetea nini,hujui ata chama chochote cha upinzani utetea na kupinga yale ya chama tawala.
Nauza dawa ya kuondoa gasi ya maharage,wewe umekula ya wapi?
Lkn si umeelewa kinachoingelewa mbna unatoa hoja zisizo?Hakuna chama kinaitwa ukawa mtoa mada ujue na km kakiuka subiri
Kwa hilo huyo mama anapoteza mda wake bure ila hatushangai maana njaa itakuwa inamsumbua, hawezi kufanya kazi ya kuwasemea ukawa pasipo malipo.
Kati ya mambo ambayo yananishangaza ni baadhi ya viongozi wa Asasi na Taasisi za Kiraia kusahau majukumu yao na kuanza kuwa wasemaji wa vyama vya Siasa, hili la Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC kugeuka mtoa matamko ya UKAWA kwa kujipa majukumu yasiyo yake kutoa matamko ya kuikataza Serikali kutokujihusisha na shughuli ya upatikanaji wa Katiba mpya halipaswi kuungwa mkono.
Kiongozi huyu ameigeuza taasisi hiyo jukwaa la Siasa na kusahau kabisa kuwa taasisi anayoiongoza pamoja na mambo mengine haitakiwi kufanya siasa la sivyo aende kwa msajili akakisajili kuwa chama kipya. Kwa namna yoyote ile huwezi kuitenga Serikali katika kutimiza wajibu wake katika hili ili hatimaye Tanzania tupate Katiba mpya!Mchakato huu hauwezi kusimama peke yake bila Serikali kuhusika hilo alijue na si kama anavyofikiri yeye. Na kama basi anataka kuwatumikia wananchi kwenye masuala ya siasa ajiunge na Chama kimojawapo cha siasa tujue moja ili aache kufanya Siasa ndani ya LHRC!
Mungu Ibariki Tanzania![/QUOTEY
Tatizo la Serikali nyingi za kiafrika zinataka kuona kila mtu akiziunga mkono,hata kama zinakosea au kwenda kinyume na matarajio ya wananchi ambao ndio waajiri wa viongozi wetu
Hazitaki kabisa kuona kuna watu kama hawa ambao wanazi-challenge.Ukizo-challenge unaitwa mwanasiasa
Huyu Mama anafanya kazi nzuri sana,isipokuwa tu kwa mtazamo ule ule lazima ataonekana mbaya kwa sababu anakosoa,anaelemisha na amekuwa mkweli
kiongozi tupe data zaidi!
huyu mama na taasisi zao niwadini sana.waislam wana pigwa lakini cjawai kumwona akiikemea serikali
Hiyo dawa c ukawauzie hapo kwenu wewe, huyo mama fyatu kweli cjui analipwa kiasi gani maana anaonekana ni mchumia tumbo wa Ukawa.
Kati ya mambo ambayo yananishangaza ni baadhi ya viongozi wa Asasi na Taasisi za Kiraia kusahau majukumu yao na kuanza kuwa wasemaji wa vyama vya Siasa, hili la Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC kugeuka mtoa matamko ya UKAWA kwa kujipa majukumu yasiyo yake kutoa matamko ya kuikataza Serikali kutokujihusisha na shughuli ya upatikanaji wa Katiba mpya halipaswi kuungwa mkono.
Kiongozi huyu ameigeuza taasisi hiyo jukwaa la Siasa na kusahau kabisa kuwa taasisi anayoiongoza pamoja na mambo mengine haitakiwi kufanya siasa la sivyo aende kwa msajili akakisajili kuwa chama kipya. Kwa namna yoyote ile huwezi kuitenga Serikali katika kutimiza wajibu wake katika hili ili hatimaye Tanzania tupate Katiba mpya!Mchakato huu hauwezi kusimama peke yake bila Serikali kuhusika hilo alijue na si kama anavyofikiri yeye. Na kama basi anataka kuwatumikia wananchi kwenye masuala ya siasa ajiunge na Chama kimojawapo cha siasa tujue moja ili aache kufanya Siasa ndani ya LHRC!
Mungu Ibariki Tanzania!
sasa mbona hueleweki?Unapaswa Kujua Hii quote nimeitoa wapi: Najua nachangia nini???
Sasa kama waislamu wanapigwa huyu mama anausika vipi na ugomvi wao,kama ni kupigwa na polisi na hao polisi ni dini kama wao-Wapi Suleman Kova,Said Mwema,Mahta hawa wote ni ugomvi wao mama hausiki nasema hausiki.
Unapaswa Kujua Hii quote nimeitoa wapi: Najua nachangia nini???