KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Sana sana nilichoona ni listi ya wanaume na kui-magine idadi ya kilometa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni muwaombee sana watoto wenu.....sitemi ngoooooooo ni malezi ya kiduwanzi yanachangia ntatema wakati namuachia binti yangu laana kama atakuwa kama huyu nyangau huyu wema hana mienendo mizuri na mimi kama mama siwezi kukubaliana na ujinga huu period
SO DO I NA NDO MAANA SIBARIKI TABIA ZA WEMA ....... SITAKI KUTEMA MATE WALA NINI HUYU MAMAKE SI HUWA ANASHANGILIA NA KUTUKANA MATUSI YA NGUONI WAKATI MWANAE ANAFANYA MAZABE SASA NATAKAJENi muwaombee sana watoto wenu.....
Wanaharibiwa kuanzia na ndugu..majirani .... marafiki....hata walimu na mibaba
Kuna watoto primary no bikira
Anaweza kuja nyumbani akatulia kama mtakatifu once yupo nje ya geti ni balaa...
Wengine wanavaa mpaka ninja na wakitoka wanaenda kubadilia kitaa
Ombea sana wanao....Mungu awalinde malezi utakayowapa na njia itakayowafundisha waishike. Hakuna mtaalam wala bingwa kwehye kulea
Mashiko utayatoa wapi nawe si MASKINI wenyewe wameelewaNajiuliza tu ni faraja ya masikini kivipi?
Sijaelewa na sababu alizotoa hazina mashiko hata kidogo
Huna akili wewe,umejaa majivuno. Utamtukanaje hivyo mtanzania mwenzako. Halafu useme we nae ni binadamu kweli. Mwache mtoto wetu afurahie Tanzania kwao.wema ni takataka angekuwa mwanangu ningembadilisha na kapu niendee sokoni .................. halort...na ile sauti yake manina zake
Mkuu kwani hujamwelewa mwandishi??Faraja labda kwa akina msukuma na wenzie
haha always kichaa anamuona mwenzie kichaaa.............Una shida ya kisaikolojia pole.
Nadhani hujamwelewa mtoa mada.Aisee,sijui huyu bwana ni mtu wa namna gani,natamani kumuona.Katika jamii ambayo watu wake wengi wameonyesha wazi kwamba wanachukia watu wanaojihusisha na madawa ya kulevya,he stands out in support of them? He must be a very evil person.Anavyomremba Wema as if kafanya kitu chema sana ,kumbe kasababisha vijana wetu wengi kuwa mataahira.Ajabu sana.
Nami nimeipenda, Dr wewe ni mwandishi mzuri makala yako inavutia ila pia inauma kwa wale team wema
Duu ingekuwa kila ukifanya kamchezo kale na wanaume kanabakia ka alama usoni basi Wema Sepetu uso wote ungekuwa umejaa vidoti doti
Mie nimesoma hiyo list hapo ya mleta uzi, sasa mie nimuonee kwani namuona wakati ana gegedwa!Mnamuonea Dada wa watu.