Dk. Levy: Wema Sepetu, wewe ni faraja kwa masikini

Kwanza ukiangalia hiyo listi ni wanaume 9 tu hapo........

Inawezekana Humu kuna watu wanajifanya malaika ila historia zao unaweza kukuta wanajaza behewa la treni ya gongo la mboto kama sio fuso mbili na mwendokasi tatu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa umaarufu wake hiyo list tayari ni DOA. Ila huku mtaani kuna watu wanazaidi ya hao watu
 
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo[emoji45]
 
sitemi ngoooooooo ni malezi ya kiduwanzi yanachangia ntatema wakati namuachia binti yangu laana kama atakuwa kama huyu nyangau huyu wema hana mienendo mizuri na mimi kama mama siwezi kukubaliana na ujinga huu period
Wewe ni mama?
ooh naona sare hapo,mama ongea na mwanao.
 
Kwani hiyo tisa ni exact au sample?
kuna Nagarico, Msukuma;haidary n.k
Tunaowajua na tusiowajua.
 
wakati anamtukana makonda sauti haikuwa ile ya kuwaibia wakware wenzie
hahahaha. as if u were in my mind... [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa hapo magumegume ndo yanavutiwa na ile fake voice. cha kushangaza mpaka baadhi ya kina dada wenzetu wanadanganyika kwamba ile ni her real voice na masifa kibao. hahahaha
 
Kwani hiyo tisa ni exact au sample?
kuna Nagarico, Msukuma;haidary n.k
Tunaowajua na tusiowajua.
Hata kama sample

Kuna wengine walianza toka la darasa tano.... wanawapanga posta hadi msata kwenda na kurudi mara tatu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata ma dr. Siku hizi wanaupungufu wa kufikiri huwezi kumsifia mtu kwa kuwa na wanaume wengi.....huo ni ujinga au una akili kama zake
Utakuwa umesoma post lakini hujaelewa context.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…