Dk. Levy: Wema Sepetu, wewe ni faraja kwa masikini

Amesahau kuombea ndugu zake wa kike wawe na tabia kama ya wema.

Eti maskini, au yeye na umaskini wa dudwu lake ndio ameandika upupwu huu, kituko cha karne.
 
ha ha ha haaa...hii kashfa hii si buree!

Kamkashfu asee kwa kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa
 
Duuuh! Dr. Kamvua nguo bidada mchana kweupeee tena sokoni.
 
Na alaaniwe yeye amfanyae Wema Sepetu kuwa role model wake, Fredinho 4:3.
 
Tatizo kwa wema ni umaarufu na pia kama kioo cha jamii hakutakiwa kuishi anavoishi.
Mie siwaelewagi mnaowaita hawa kioo cha jamii...

Jamii ipi?

Kila mmoja awe kioo kwa familia yake...kama mnawategemea hawa wasanii wenu ndio wawe vioo kazi mnayo watanzania
 
Mie siwaelewagi mnaowaita hawa kioo cha jamii...

Jamii ipi?

Kila mmoja awe kioo kwa familia yake...kama mnawategemea hawa wasanii wenu ndio wawe vioo kazi mnayo watanzania
Kila mtu ni kioo katika familia. Jina la mtu maarufu na influence yake ktk jamii inachangia pa kubwa sana. Hili halina ubishi
 
Kila mtu ni kioo katika familia. Jina la mtu maarufu na influence yake ktk jamii inachangia pa kubwa sana. Hili halina ubishi
Ndio mziambie jamii zenu zibadilike.....

Kama wenye majina ni vioo basi hata chid benz ni kioo

Mbadilishe mindset
 
Ndio mziambie jamii zenu zibadilike.....

Kama wenye majina ni vioo basi hata chid benz ni kioo

Mbadilishe mindset
Mkuu chid Benz pia ni msanii. Na ndiyo maana jamii ilistuka na karibia mikoa yote ilifahamu hilo.
 
Duh...!, hata kama ingekuwa kweli, sasa ndio umeharibu!, umemharibia kwa kuitoa nje hii siri, hivyo umemponza na jina lake sasa limeondolewa, hateuliwi tena yeye, sasa atateuliwa mtu mwingine tuu ila ni mwanamke!.
P
 
Kwani huyu Dr. Mlevy ni daktari wanini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…