Elias Msuya
Platinum Member
- Dec 23, 2011
- 267
- 1,014
Huyu ni mchunguzichawa!Mchambuzi wa masuala ya siasa, Dk Dennis Muchunguzi amekosoa kauli za aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwa mgombea pekee aliyepitishwa na mkutano mkuu wa CCM, Januari 19, akisema ni utaratibu wa CCM kwa rais anayegombea awamu ya pili kuwa mgombea pekee.
Amesema hata Rais Magufuli alipogombea kwa mara ya pili, alikuwa mgombea pekee na waliojaribu kuchukua fomu walifukuzwa.
View attachment 3413050
Polepole alikosoa uteuzi huo katika barua yake ya kujiuzulu zliyotoa Julai 13 na baadaye kwenye mkutano na waandishi wa habari wa Julai 18 uliofanyika mtandaoni.
Polepole: Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali
Aidha, Dk Mchunguzi amesema mkutano mkuu wa Januari 18, 19, 2025 ulikuwa halali.
View attachment 3413049
Kikatiba Samia hii ni awamu yake ya pili. alianza kuwa Urais 2021 Kikatiba. Msindania wake 2021 alikuwa Katiba. Hivyo, awamu hii kwa utamaduni wa CCM hatakiwi kupitia mikikimikiki maana anaenda kukamilisha muhula wake wa pili.Huyu ni mchunguzichawa!
Traditionally, Rais wa kuchaguliwa akitaka kugombea kwa mara ya pili huwa hapitii tena ile mikiki mikiki kama ile aliyoipitia wakati anagombea term yake ya kwanza. Kila Rais aliyepita alipatikana kwa kushindanishwa na wanachama wenzake (kabla ya kuchaguliwa kwa mara ya kwanza).
Samia The Killer amewahi kushindanishwa na nani?
Mchambuzi wa masuala ya siasa, Dk Dennis Muchunguzi amekosoa kauli za aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole kuhusu uteuzi wa Rais Samia kuwa mgombea pekee aliyepitishwa na mkutano mkuu wa CCM, Januari 19, akisema ni utaratibu wa CCM kwa rais anayegombea awamu ya pili kuwa mgombea pekee.