Elections 2010 Dk Shein atajwa kujitosa kinyang'anyiro cha urais Zanzibar

Elections 2010 Dk Shein atajwa kujitosa kinyang'anyiro cha urais Zanzibar

Hapa CUF wajiandae kuchukua nchi wakisutana mwisho wataparaganyika kama bara 2015
 
Vipi Karume mdogo. Ile skendo ya kuua mtu haijasikika tena?
Tuliisikia siku za nyuma.
 
Nasikiwa wazee wa Pemba (CCM) wamemuuliza Shein wewe nani kakutuma mbona sisi hatujakuambia kitu? akabaki kimya . Wakamwambia sisi tayari tuna Rais wetu, wewe hatukujui !!!. Ila iko ngoma nasikia tetesi mpambe wake ana bajeti nzuri ya kuwanunua wajumeb wa NEC. Maana Rais wa zanzibar anapitishwa na NEC, sio mkutano mkuu ww CCM ! Mtu wa Pwani endelea kutujuza !
 
zanzibar kumekucha sasa.

tayari mambo ya kuchafuana chini kwa chini imeanza, kuna habari amabazo zimeenezwa zanzibar kila kona kuwa dr shein hajajiandikisha kwenye daftari la kupiga kura zanzibar, kwa hio hana uzalendo wala imani na zanzibar na hafai kuwa rais wa zanzibar.


wakati huo huo Mohammed Aboud nae lake likisambaa ingawa si kwa kiasi cha kutisha kuwa kaongopa kuhusu shule aliosoma Form four. ametaja kuwa amesoma shule ambayo kwa miaka hio kulikuwa hakuna mkondo wa form four

kwa kweli kazi imeanza stay tune niko karibu kukupasheni habari zinavyoendelea

Hiyo itakuwa kambi ya Shamuhuna tu!
 
Siasa za Tanzania bwana,hivi mtu huwezi kushinda mpaka umsingizie mwenzako au umchafue mwenzako?jamani tutabadilika lini?
 
Hivi ni kweli kwamba Dr Shein "kasukumwa" na Amani Karume ili yeye awe mgombea mwenza wa Kikwete?
 
Hizi ni speculations tu. Nafasi ya VP anaweza kuchukua mtu yeyote yule kutoka zanzibar. Nani alitegemea Pinda angeweza kuwa PM ? Siasa ni mchezo mchafu, mara nyingi watu wanaotajwa tajwa ni katika uvumi tu. Lakini hii nafasi Raisi JK, na watu ambao bado wananguvu katika serikali ya muungano TZ (Raisi mstaafu Mwinyi, Karume) ndio wanaweza kutuchangulia sisi wananchi wa kawaida.

Mengi yatasemwa kabla ya uchaguzi, magazeti ambayo kwa sasa mengi yanamilikiwa na wanasiasa yatajaribu kupenyeza dhamira za watu wachache wanaotaka watu wao kushika nafasi nyeti kwa manufaa yao wenyewe, na si kwa manufaa ya umma. Hili pia lipo hapa JF, wapo members, labda wako kwenye payroll au kwa madhumuni yao binafsi watajaribu kutia sumu zao kwa manufaa yao binafsi. Tujaribu kuwa fair kuelekea uchaguzi kwa sababu kwa njia moja ama nyingine michango yetu humu ndani nayo inachangia mabadiliko endelevu tunayotazamia kupata sio za usomi.
 
Siasa za Tanzania bwana,hivi mtu huwezi kushinda mpaka umsingizie mwenzako au umchafue mwenzako?jamani tutabadilika lini?

Kama machafu yapo basi kuyajua ni haki yetu, lakini ni kweli hizi siasa za Tanzania kuchafuana na kusingiziana ndio kumetia fora.
 
Kutaka kumfahamu kwa undani mgombea wa nafasi nzito kama hii ninyi huku bara mnaita kuchafuana! Matokeo yake anapewa yeyote baadae mnakaa kulaani. Tuwachunguze sana wagombea wetu wa nafasi zote. Tuseme yote tunayoyajua kuhusu wao. JK, Ben na hata AHM wangeanikwa vilivyo Urais wasingeupata. Wenzetu Ulaya na Marekani hawana simile kwa hili.
 
Ni wakati wa kuvuana nguo hadharani... na lni azima pumba zijitenge na mchele
 
Hivi ni kweli kwamba Dr Shein "kasukumwa" na Amani Karume ili yeye awe mgombea mwenza wa Kikwete?

Hizi ndizo habari zinazotapakaa kwa sasa! Lakini kwa jinsi position ilivyo na historia ya ukimya kiutendaji, atapewa tu!
 
Siasa za Tanzania bwana,hivi mtu huwezi kushinda mpaka umsingizie mwenzako au umchafue mwenzako?jamani tutabadilika lini?
Hizo siyo siasa za TZ tuu nchi za magharibi ndiyo usiseme. Kusingiziana, kubabikiziana kashfa ni mambo ya kutarajiwa katika kipindi hiki
 
Vice president Dr Ali Mohammed Shein and six other Chama Cha Mapinduzi heavyweights yesterday picked up nomination forms ready to vie for the Zanzibar top government seat in the General Election in October.

Those who picked the forms will pass through a party sieving process before it elects one of them as the sole candidate to contest with fellows from other political parties.

Most of the aspirants promised to strengthen national unity among the Islanders and to continue solidifying the Union of Tanganyika and Zanzibar.

They gave the promissory notes separately when each of the contestants picked nomination forms and addressed journalists.

Dr Shein, who picked his nomination form at 3pm yesterday, said he would put more efforts to see that the people of Unguja and Pemba become more united in a move to solidify national peace.

He said time had come for Zanzibaris to do away with hatred that has prevailed among the Islanders and instead, allow decorum to embrace the nation.

“I shall try to ensure that Zanzibaris live and work in peace and foster unity because they are one people,” said Dr Shein.

Answering the question why he decided to register in the permanent voter register in Mainland and not in Zanzibar, the VP said the act of doing so did not rob him of his constitutional right to contest for Zanzibar president.

He said he believed that the Union and Isles constitutions and the election laws gave him the opportunity to contest for the Isles presidency regardless of the fact that he had registered on the Mainland.

Other presidential aspirants on CCM ticket who picked up the nomination forms yesterday included former Isles chief minister Dr Mohammed Gharib Bilal. He promised that he would take punitive measures against government officials who fail to discharge their duties well.

He said personally if elected to be the president of Zanzibar, he will ensure that himself and his family receive their medical treatment in the Isles and not outside the country as it was normally the case with some government leaders.

On national unity, he said this would depend on the people in the forthcoming referendum slated for July 31 this year.

“What the wananchi will decide is what the government is going to implement,” he said.

The contestants made the promises after receiving nomination forms from CCM Zanzibar publicity secretary Vuai Ali Vuai, at party’s Kisiwandui headquarters here.

For his part, Ambassador Ali Karume, picking up the forms said he sought advice from retired presidents before deciding to embark on the battle for the top seat.

He said if the party would pick him to vie for the top post in Zanzibar; he would lay down the foundation for the economic development of the isles.

Isles Deputy Chief Minister and Information, Culture and Sports minister Ali Juma Shamuhuna said Zanzibar needed decent and quiet leader, capable of fighting against those violating the country’s principles of peace and good governance.

He said the Isles had made big efforts in bringing about development to the people, a thing that pushed him to seek their support so that he could implement other pending issues.

He said as a minister, he had all qualifications needed to vie for the presidency, and that the wananchi would not regret once they vote him for the highest post in the isles.

Speaking on the government of national unity, he said, the issue would be decided by the wananchi in the referendum planned for isles next month.

“It’s the public which will decide on the government of national unity, I highly respect the decision reached by my party in this issue,” he stressed.

On his part, Hamad Bakari Mshindo, said the government of national unity was not a new phenomenon in Zanzibar as the Isles government had always allowed people of different religions and ideologies to associate since 1964.

According to Mshindo, the government of national unity had been misinterpreted by many because of lack of basic knowledge on the issue.

For his part, Tanzania’s East African Cooperation deputy minister, Mohammed Aboud, said if elected he would give priority in communication infrastructure construction, improvement of social services and the strengthening of unity among Zanzibaris.

The current Isles Chief Minister, Shamsi Vuai Nahodha, who was the first to pick the presidential forms yesterday said he was sure of winning the electoral process and become the sole party presidential candidate.

“I know what I have done to the people, I know their expectations and the problems they are facing,” he said.

According to the nomination schedule, Isles Education and Professional Training minister Haroun Ali Suleiman is expected to pick up his nomination papers on Wednesday, bringing the number of people who have so far come out to contest for the Zanzibar top government post on CCM ticket to eight.

SOURCE: THE GUARDIAN​
 
thanx mkuu kwa kutuhabarisha,tupe ya huko mkuu.. lkn mbona nasikia mwaka huu kuna mtu ambae hana jina saana,ndie chaguo la wakulu... sijui unatuambiaje kwa hili? ni kweli kuna mtu kachukua form ambae hana jina kubwa ktk siasa za huko?
 
thanx mkuu kwa kutuhabarisha,tupe ya huko mkuu.. lkn mbona nasikia mwaka huu kuna mtu ambae hana jina saana,ndie chaguo la wakulu... sijui unatuambiaje kwa hili? ni kweli kuna mtu kachukua form ambae hana jina kubwa ktk siasa za huko?


mkuu yupo jamaa ambae hana jina kubwa na wala hatajiki sana kwa watu anaitwa Hamad Bakari Mshindo, ambaye aliwahi kuwa katibu mkuu wizara ya Habari na Michezo na Vijana ya Zanzibar enzi za Dr Salmin na baadae akaekwa pembeni kipindi cha pili kwa siasa za upemba na unguja.

mwishoni amemalizia na Kamishna wa elimu ktk mambo ya utamaduni.

asili yake ni kutoka pemba kangangani, na yeye nnavyosikia anasema ametumwa achukue fomu na huenda akawa rais wa visiwa vya karafuu na nazi.

kwa kweli kazi ipo
 
nimeangalia TBC jana usiku nilisikitika sana kuona kuwa wamekuwa biased sana

ktk coverage yao wamewapa air time Dr shein, Dr Gharib, Shamhuna na Shamsi. lkn wengine hata majina hawajawataja.


kwa nini wameamua kuchagua upande mmoja tu ?
 
rais ni dk shein

tulishaamua zamani sana juu ya hili kwa visiwa vya zanzibar
 
mkuu yupo jamaa ambae hana jina kubwa na wala hatajiki sana kwa watu anaitwa Hamad Bakari Mshindo, ambaye aliwahi kuwa katibu mkuu wizara ya Habari na Michezo na Vijana ya Zanzibar enzi za Dr Salmin na baadae akaekwa pembeni kipindi cha pili kwa siasa za upemba na unguja.

mwishoni amemalizia na Kamishna wa elimu ktk mambo ya utamaduni.

asili yake ni kutoka pemba kangangani, na yeye nnavyosikia anasema ametumwa achukue fomu na huenda akawa rais wa visiwa vya karafuu na nazi.

kwa kweli kazi ipo

Nimekupata mkuu, namfahamu huyu jamaa. labda naomba unisaidie kitu kimoja,kwa wakati huu,huyu jamaa yupo ktk nyadhifa gani? na vp kuhusu CV zake?
 
Back
Top Bottom