T11
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 5,101
- 4,560
Linaloamini Maria ni mama wa Mungu?Walivyo kisiasa ndivyo iakisivyo walivyo.
Rc ndilo Kanisa la Mungu Mitume wengine mbwembwe tu.
Vichaa vyenu ni vya viwango sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Linaloamini Maria ni mama wa Mungu?Walivyo kisiasa ndivyo iakisivyo walivyo.
Rc ndilo Kanisa la Mungu Mitume wengine mbwembwe tu.
Hii ni kansa ya kitaifa linapokuja suala la uchaguzi!! Kwa kweli ni aibu kuwa na mvurugano kwa watu wanaoongoza wenzao kiroho!!Hata huko wanaibiana kura.!
RC hawa wakoloni!Mungu yupo Rc na si kwingineko.
Hakuna Askofu asiye mwanasiasa!Ila shoo yupo kama mwanasiasa
Ajikite zaidi kulisha kondoo wa Bwana
Kwenu nyie siasa ni mtu anayeipinga CCM. Usimshangae mwenzako!!Hakuna Askofu asiye mwanasiasa!
Hili tu linatosha kukuonesha una chuki na dkt shoo na Unapenda iwe hivyo.Yule mwanaharakati wa Chadema kapigwa chini na ameyakataa matokeo!
Usituletee ,mafumbo utadhani kama tupo kwenye mchiriku,andika habari inayoeleweka sisi sio malaika kwamba tunajua unachokiandika.Hili ndio tatizo la siku hizi kila mtu anajifanya anajua kuandika kisa ana bando na Tecno ya KariakooHabari za ndani kabisa zinatabanaisha kwamba jamaa kapigwa chini na kagomea matokeo!
Imeelezwa yule mfupi wa Karagwe kagomea matokeo na kambi yake inalazimisha uchaguzi urudiwe na kambi nyingine ikiongozwa na wa Iringa na Rukwa wanataka uchaguzi usirudiwe.Hatari!
Hahahaa......!Kwenu nyie siasa ni mtu anayeipinga CCM. Usimshangae mwenzako!!
Siamini dini zenu za kimapokeoJikite kwenye mada ewe mfufua wafu na uwapaye mimba walio tasa na mponya vilema na wakatembea huku ukiwa hutaki sadaka aina ya coin teh teh teh!
Habari za ndani kabisa zinatabanaisha kwamba jamaa kapigwa chini na kagomea matokeo!
Imeelezwa yule mfupi wa Karagwe kagomea matokeo na kambi yake inalazimisha uchaguzi urudiwe na kambi nyingine ikiongozwa na wa Iringa na Rukwa wanataka uchaguzi usirudiwe.Hatari!
Tumekesha kwa siku mbili kumkataa yeye shoo na Bagonza wake.2020 wachukue fomu wagombee kwa tiketi ya chadema tukutane sanduku la kura.Maaskofu gani hao kutwa wako kwenye Siasa .Karibuni kwenye Siasa nyie bagonza na shoo zile kadi zenu za chadema Sasa ruksa kuzionyesha wazi zitoeni kwenye majohoYule mwanaharakati wa Chadema kapigwa chini na ameyakataa matokeo!
Kura zinapigwa na binadam we mbwiga!Nani amekuambia wewe mzushi??Msituletee propaganda kwenye kanisa letu.Iwe Shoo ama nani.Mungu ndiye anasimamisha na sio wazushi kama ninyi
Hizo kura zinahusiana vp na imani? Kwani hao walutheri wanamuamini shoo au Mungu?Si busara kuyaongelea haya kwa mtazamo mwepesi. Tusicheze na imani za watu. Ya ngoswe mwachie ngoswe.
Sawa.Lakini Mungu anakua ameshamwinua mpakwa mafuta wake bwana mdogoKura zinapigwa na binadam we mbwiga!