Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kampe pole swahiba wako ShooKwenu nyie siasa ni mtu anayeipinga CCM. Usimshangae mwenzako!!
Wewe utakuwa si mkristu kabisaaa! Kwani vitabu vinasema Yesu alizaliwa toka tumboni mwa nani? Na Yesu ni nani...? Vinginevyo km wewe ni mkristu, Basi mkuu hujui unachodhani unajuaLinaloamini Maria ni mama wa Mungu?
Vichaa vyenu ni vya viwango sana
Ni kweli.Malasusa Yuko vizuri baba Yake akiwa mchungaji wa Lutherani kanisa moja la sabato waliwahi kuwa na migogoro mikubwa wakamuomba alisimamie kwa muda Kama mchungaji wakati Sio msabato na alilisimamia vizuri mno Hadi mgogoro ukaisha vizuri waumini na uongozi wakataka aendelee kushika Hilo kanisa kagoma akawakabidhi kanisa lao baada ya kuwasaidia kumaliza migogoro yao.Askofu Malasusa karithi hekima kwa Baba Yake mchungaji mstaafu wa Lutheran.Shoo alikosa haiba ya kuwa askofu mkuu
Malasusa alileta kanisa pamoja ila huyu shoo alikuwa anatengeneza mpasuko
Kila siku wanafanya/wanaandika siasa (Bagoza) wanakuwa na tabia za wanasiasa ikiwa ni pamoja na kuibiana kura.Hata huko wanaibiana kura.!
Ni kweli.Malasusa Yuko vizuri baba Yake akiwa mchungaji wa Lutherani kanisa moja la sabato waliwahi kuwa na migogoro mikubwa wakamuomba alisimamie kwa muda Kama mchungaji wakati Sio msabato na alilisimamia vizuri mno Hadi mgogoro ukaisha vizuri waumini na uongozi wakataka aendelee kushika Hilo kanisa kagoma akawakabidhi kanisa lao baada ya kuwasaidia kumaliza migogoro yao.Askofu Malasusa karithi hekima kwa Baba Yake mchungaji mstaafu wa Lutheran.
Who is Dr. ShooHabari za ndani kabisa zinatabanaisha kwamba jamaa kapigwa chini na kagomea matokeo!
Imeelezwa yule mfupi wa Karagwe kagomea matokeo na kambi yake inalazimisha uchaguzi urudiwe na kambi nyingine ikiongozwa na wa Iringa na Rukwa wanataka uchaguzi usirudiwe.Hatari!
Hizi habari unatoa wapi ? Jk alikuwa sahihi aliposema Lumumba mna viwanda vya uongoShoo na Bagonza out Malasusa hoyeeee
Duuuuh chuga iyo mwanaHabari za ndani kabisa zinatabanaisha kwamba jamaa kapigwa chini na kagomea matokeo!
Imeelezwa yule mfupi wa Karagwe kagomea matokeo na kambi yake inalazimisha uchaguzi urudiwe na kambi nyingine ikiongozwa na wa Iringa na Rukwa wanataka uchaguzi usirudiwe.Hatari!
PoleMungu yupo Rc na si kwingineko.
Shoo na Bagonza out Malasusa hoyeeee
Akili zako ziko sawa sawa kweli?Walivyo kisiasa ndivyo iakisivyo walivyo.
Rc ndilo Kanisa la Mungu Mitume wengine mbwembwe tu.
Tumekesha kwa siku mbili kumkataa yeye shoo na Bagonza wake.2020 wachukue fomu wagombee kwa tiketi ya chadema tukutane sanduku la kura.Maaskofu gani hao kutwa wako kwenye Siasa .Karibuni kwenye Siasa nyie bagonza na shoo zile kadi zenu za chadema Sasa ruksa kuzionyesha wazi zitoeni kwenye majoho
Watu wa lumumba akili zao wanazijuia wenyeweShoo na Bagonza out Malasusa hoyeeee
pole sana.Habari za ndani kabisa zinatabanaisha kwamba jamaa kapigwa chini na kagomea matokeo!
Imeelezwa yule mfupi wa Karagwe kagomea matokeo na kambi yake inalazimisha uchaguzi urudiwe na kambi nyingine ikiongozwa na wa Iringa na Rukwa wanataka uchaguzi usirudiwe.Hatari!