Tetesi: Dk Shoo kapigwa chini!Kagomea matokeo.

Status
Not open for further replies.
Linaloamini Maria ni mama wa Mungu?

Vichaa vyenu ni vya viwango sana
Jikite kwenye mada ewe mfufua wafu na uwapaye mimba walio tasa na mponya vilema na wakatembea huku ukiwa hutaki sadaka aina ya coin teh teh teh!
 
Kama ni kweli akubali tu matokeo. Kule kwetu RC, Mhashama kakubali matokeo, ingawaje anayetegemea kumrithi ni radical wa kichagga (mimi siyo mbaguzi).
 
Si busara kuyaongelea haya kwa mtazamo mwepesi. Tusicheze na imani za watu. Ya ngoswe mwachie ngoswe.
 
Usituletee ,mafumbo utadhani kama tupo kwenye mchiriku,andika habari inayoeleweka sisi sio malaika kwamba tunajua unachokiandika.Hili ndio tatizo la siku hizi kila mtu anajifanya anajua kuandika kisa ana bando na Tecno ya Kariakoo
 
Jikite kwenye mada ewe mfufua wafu na uwapaye mimba walio tasa na mponya vilema na wakatembea huku ukiwa hutaki sadaka aina ya coin teh teh teh!
Siamini dini zenu za kimapokeo

Babu zangu walikuwa na dini
 

Upuuzi huu kamwe huwezi Kuukuta katika Kanisa langu Katoliki ambalo lina Ustaarabu wake wa Kikanuni zaidi. Na ndiyo maana ukitafuta Dhehebu la Wastaarabu na ambalo pia lina Waumini Wastaarabu ambao wanajua wanachokifanya huku wako vizuri pia Kichwani ( Kiakili ) basi bado Kanisa Katoliki na Wakatoliki kwa ujumla wataongoza tu.
 
Yule mwanaharakati wa Chadema kapigwa chini na ameyakataa matokeo!
Tumekesha kwa siku mbili kumkataa yeye shoo na Bagonza wake.2020 wachukue fomu wagombee kwa tiketi ya chadema tukutane sanduku la kura.Maaskofu gani hao kutwa wako kwenye Siasa .Karibuni kwenye Siasa nyie bagonza na shoo zile kadi zenu za chadema Sasa ruksa kuzionyesha wazi zitoeni kwenye majoho
 
Si busara kuyaongelea haya kwa mtazamo mwepesi. Tusicheze na imani za watu. Ya ngoswe mwachie ngoswe.
Hizo kura zinahusiana vp na imani? Kwani hao walutheri wanamuamini shoo au Mungu?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…