Dk Slaa mbona unakaa kimya? Huoni kinachoendelea? Wale jamaa waliokuwa wanakutonya kuhusu upigaji wapo kimya?

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Please please Dk Slaa hivi sasa hali sio nzuri kabisa. Taifa letu litaibiwa sana.

Wewe una bahati ya kuwa na wanyetishaji. Ndio maana huko nyuma uliibua madudu makubwa.

Sasa hivi kuna harufu mbaya sana inanukia juu ya ufisadi na wewe ulishaisikia.

Please hebu ongea kitu maana sasa tunaelekea pabaya.
 
Weka codes tuzikakatue

Mambo ya kuzunguuuka hayana maana
 
Please please Dk Slaa hivi sasa hali sio nzuri kabisa. Taifa letu litaibiwa sana.

Wewe una bahati ya kuwa na wanyetishaji. Ndio maana huko nyuma uliibua madudu makubwa.

Sasa hivi kuna harufu mbaya sana inanukia juu ya ufisadi na wewe ulishaisikia.

Please hebu ongea kitu maana sasa tunaelekea pabaya.

Mkuu nadhani ww ni kijana,na hata kama sio kijana lakini nadhani humfikii Mzee Slaa kwa umri. Ni aibu kijana kusubiri mzee akusemee.
 
Uzee ni hekima. Acha uduanzi wewe pimbi. Kama mzee anayo chanel ya kupata data acha aseme

Nani anampa mzee data? Yaani we kijana ukose data ubaki kumtegemea mzee! Uza ubongo huo dogo maana unakaa nao kwa hasara.
 
Mzee umri umeenda sana ,nadhani kaona bora atulie apunguze mivutano isiyo n faida kwake .
 
Please please Dk Slaa hivi sasa hali sio nzuri kabisa. Taifa letu litaibiwa sana.

Wewe una bahati ya kuwa na wanyetishaji. Ndio maana huko nyuma uliibua madudu makubwa.

Sasa hivi kuna harufu mbaya sana inanukia juu ya ufisadi na wewe ulishaisikia.

Please hebu ongea kitu maana sasa tunaelekea pabaya.
Yote hayo mkalipa kwa matusi. Acha akae kimya ale mema ya nchi.
 
Back
Top Bottom