Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Weka codes tuzikakatuePlease please Dk Slaa hivi sasa hali sio nzuri kabisa. Taifa letu litaibiwa sana.
Wewe una bahati ya kuwa na wanyetishaji. Ndio maana huko nyuma uliibua madudu makubwa.
Sasa hivi kuna harufu mbaya sana inanukia juu ya ufisadi na wewe ulishaisikia.
Please hebu ongea kitu maana sasa tunaelekea pabaya.
Please please Dk Slaa hivi sasa hali sio nzuri kabisa. Taifa letu litaibiwa sana.
Wewe una bahati ya kuwa na wanyetishaji. Ndio maana huko nyuma uliibua madudu makubwa.
Sasa hivi kuna harufu mbaya sana inanukia juu ya ufisadi na wewe ulishaisikia.
Please hebu ongea kitu maana sasa tunaelekea pabaya.
Uzee ni hekima. Acha uduanzi wewe pimbi. Kama mzee anayo chanel ya kupata data acha aseme
Yote hayo mkalipa kwa matusi. Acha akae kimya ale mema ya nchi.Please please Dk Slaa hivi sasa hali sio nzuri kabisa. Taifa letu litaibiwa sana.
Wewe una bahati ya kuwa na wanyetishaji. Ndio maana huko nyuma uliibua madudu makubwa.
Sasa hivi kuna harufu mbaya sana inanukia juu ya ufisadi na wewe ulishaisikia.
Please hebu ongea kitu maana sasa tunaelekea pabaya.
Habari za zama damu ndio unaleta leo?! Amka ww usije ukachafua godoro maana kumekucha.Kwani wakati anapewa list of shame alipewa na nani?
Inasikitisha sana. Asali hizi