Bloodstone
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 920
- 994
Duh kama nchi tumee.....?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii CCM naona huu mchezo wa "kununua" ndiyo kete pekee waliyobaki nayo.Ni kweli tumeuzwa.
Na waliotuuza ni CCM na viongozi wake ambao ndio hao hao waliwahi kumnunua Dr.Slaa 2015 ili aisaliti CHADEMA na kisha kumhonga ubalozi Sweden.
Unahangaika bure hapa.Naona hichi kibabu kimeshakuingiza kingi na wewe umesahau usaliti wake mwaka 2015?
Hichi kizee kisaliti sana kitulie kihangaike na mshumbushi sio kitupigie kelele mbona yale makinikia feki ya magu kilikaa kimya hiki kiajuza?
Asikudanganye mtu mkuu 'denooJ', hapo alipo huyo mama hajui tu pa kutokea akiwa na uso wake sahihi.Kiongozi wa nchi aliyetuingiza kwenye hili janga anajitokeza hadharani kwa kusema ameziba masikio, hatusikii, yeye anaendelea kuchapa kazi, mtu mwenye akili timamu lazima ujiulize ni kazi gani hizo anazotuchapa nazo huyu mtu? ndipo unapata jibu, anatuchapa kwa kutupeleka utumwani arabuni.
Hizi kelele hazitakiwi kukoma, ni kupiga tu mpaka masikio yake aliyoyaziba azidi kuyajaza pamba yaharibike, au aamue kutusikiliza watanganyika tunachotaka na atupe, huo ndio wajibu wake. Hakuapa kuilinda katiba ya yetu ili aje kuwa bosi wetu, aliapa aje kuwa mtumishi wetu.
AmeshatubuNaona hichi kibabu kimeshakuingiza kingi na wewe umesahau usaliti wake mwaka 2015?
Hapo sasa ndio patamu !Ni kweli tumeuzwa.
Na waliotuuza ni CCM na viongozi wake ambao ndio hao hao waliwahi kumnunua Dr.Slaa 2015 ili aisaliti CHADEMA na kisha kumhonga ubalozi Sweden.
Think tank wamekaa pembeni kama watazamaji tu ! Wanaangalia mchezo unavyoenda !!Hii CCM naona huu mchezo wa "kununua" ndiyo kete pekee waliyobaki nayo.
Hakuna cha ushawishi kwa hoja tena.
Naona kibabu kimekukalia vibaya mzee umeanza tena kukiamini hahahahhaUnahangaika bure hapa.
kama alirukwa na akili huko 2015; tunachoangalia hapa ni kama akili zake zimemrudia sasa.
Usibeze uwezo wetu wa kutambua mambo; kati ya hayo unayo hangaika kutukumbusha wewe; ambayo tunayajua tayari , na anayoyaeleza huyo mzee sasa hivi.
Nina hakika ndani ya nafsi yake ameshayaona makosa yake, ndio maana serikali yake haina majibu, hii aibu anaishi nayo ndani yake.Asikudanganye mtu mkuu 'denooJ', hapo alipo huyo mama hajui tu pa kutokea akiwa na uso wake sahihi.
Anafahamu dhahiri kuwa hili kalikoroga sana.
Iwe bahati tu kwamba, kwa vile nchi hii ni ya watu wapole, watamwacha aende zake bila bugdha.
Kwingineko angepata taabu sana huyu.
Angefanya in writing ingependeza sana !!Ameshatubu
Kati ya Samia na hicho kizee, ni nani ambaye mara moja moja anazungumza na kuonekana kueleweka zaidi kuhusu maslahi ya nchi hii?Naona kibabu kimekukalia vibaya mzee umeanza tena kukiamini hahahahha
Kele za chura hazi mzuia ng'ombe kunywa maji unless chura wewe wengi kwenye chombo ndipo ng'ombe ataacha. Ww na wengine tupo huku mtandaoni na porojo ingieni uwanchani mcheze ngoma lasivyo ni useless hahahahahahhahahahahahahahahahaKiongozi wa nchi aliyetuingiza kwenye hili janga anajitokeza hadharani kwa kusema ameziba masikio, hatusikii, yeye anaendelea kuchapa kazi, mtu mwenye akili timamu lazima ujiulize ni kazi gani hizo anazotuchapa nazo huyu mtu? ndipo unapata jibu, anatuchapa kwa kutupeleka utumwani arabuni.
Hizi kelele hazitakiwi kukoma, ni kupiga tu mpaka masikio yake aliyoyaziba azidi kuyajaza pamba yaharibike, au aamue kutusikiliza watanganyika tunachotaka na atupe, huo ndio wajibu wake. Hakuapa kuilinda katiba ya yetu ili aje kuwa bosi wetu, aliapa aje kuwa mtumishi wetu.
Hicho kikongwe hakina content zaidi kuona umaarufu umeshuka na kuona njia rahisi ya kumpaisha ni hoja ya bandari hakahaka kazinzi kalisema kamekamata container la kura mbeya ndio maana mshumbushi anakabutuaKati ya Samia na hicho kizee, ni nani ambaye mara moja moja anazungumza na kuonekana kueleweka zaidi kuhusu maslahi ya nchi hii?
Achana na 'personalities' zao, angalia 'content' za wanayoyasema.
Je alitoka tu kitandani akaachana na chadema au alitofautiana na viongozi wa chadema kuhusu kumpokea LowasaNi kweli tumeuzwa.
Na waliotuuza ni CCM na viongozi wake ambao ndio hao hao waliwahi kumnunua Dr.Slaa 2015 ili aisaliti CHADEMA na kisha kumhonga ubalozi Sweden.
Hakuna sehemu kwenye hotuna yake aliichafua chademaMimi tokea hichi kiajuza kihongwe kwenda kuichafua chadema mwaka 2015 pale movenpick sikiamini hata chembe kinalaana ya kanisa hichi kibabu
Mbona wakati wa mwenda zake alinukuliwa akisema Tundu Lissu alipigwa risasi na chadema wenyewe na vipi hapo ? au ni lowasa alisababisha tena?Je alitoka tu kitandani akaachana na chadema au alitofautiana na viongozi wa chadema kuhusu kumpokea Lowasa
Na Samia alishasema kipi. Naona hata kumnukuu tu huwezi kwa vile hakuna kitu pale.Hicho kikongwe hakina content zaidi kuona umaarufu umeshuka na kuona njia rahisi ya kumpaisha ni hoja ya bandari hakahaka kazinzi kalisema kamekamata container la kura mbeya ndio maana mshumbushi anakabutua