Dk. Slaa: Mkataba wa DP World kama Taifa - Tumeuzwa!

Ni kweli tumeuzwa.
Na waliotuuza ni CCM na viongozi wake ambao ndio hao hao waliwahi kumnunua Dr.Slaa 2015 ili aisaliti CHADEMA na kisha kumhonga ubalozi Sweden.
Hii CCM naona huu mchezo wa "kununua" ndiyo kete pekee waliyobaki nayo.
Hakuna cha ushawishi kwa hoja tena.
 
Naona hichi kibabu kimeshakuingiza kingi na wewe umesahau usaliti wake mwaka 2015?
Unahangaika bure hapa.
kama alirukwa na akili huko 2015; tunachoangalia hapa ni kama akili zake zimemrudia sasa.
Usibeze uwezo wetu wa kutambua mambo; kati ya hayo unayo hangaika kutukumbusha wewe; ambayo tunayajua tayari , na anayoyaeleza huyo mzee sasa hivi.
 
Asikudanganye mtu mkuu 'denooJ', hapo alipo huyo mama hajui tu pa kutokea akiwa na uso wake sahihi.

Anafahamu dhahiri kuwa hili kalikoroga sana.

Iwe bahati tu kwamba, kwa vile nchi hii ni ya watu wapole, watamwacha aende zake bila bugdha.

Kwingineko angepata taabu sana huyu.
 
Hii CCM naona huu mchezo wa "kununua" ndiyo kete pekee waliyobaki nayo.
Hakuna cha ushawishi kwa hoja tena.
Think tank wamekaa pembeni kama watazamaji tu ! Wanaangalia mchezo unavyoenda !!
 
Naona kibabu kimekukalia vibaya mzee umeanza tena kukiamini hahahahha
 
Nina hakika ndani ya nafsi yake ameshayaona makosa yake, ndio maana serikali yake haina majibu, hii aibu anaishi nayo ndani yake.
 
Week end imeisha.
Mzee wetu amerudi, karibu tena jamvini.

Walee, njooni mjibu Hoja!
 
Kele za chura hazi mzuia ng'ombe kunywa maji unless chura wewe wengi kwenye chombo ndipo ng'ombe ataacha. Ww na wengine tupo huku mtandaoni na porojo ingieni uwanchani mcheze ngoma lasivyo ni useless hahahahahahhahahahahahahahahaha
 
Kati ya Samia na hicho kizee, ni nani ambaye mara moja moja anazungumza na kuonekana kueleweka zaidi kuhusu maslahi ya nchi hii?

Achana na 'personalities' zao, angalia 'content' za wanayoyasema.
Hicho kikongwe hakina content zaidi kuona umaarufu umeshuka na kuona njia rahisi ya kumpaisha ni hoja ya bandari hakahaka kazinzi kalisema kamekamata container la kura mbeya ndio maana mshumbushi anakabutua
 
Ni kweli tumeuzwa.
Na waliotuuza ni CCM na viongozi wake ambao ndio hao hao waliwahi kumnunua Dr.Slaa 2015 ili aisaliti CHADEMA na kisha kumhonga ubalozi Sweden.
Je alitoka tu kitandani akaachana na chadema au alitofautiana na viongozi wa chadema kuhusu kumpokea Lowasa
 
Je alitoka tu kitandani akaachana na chadema au alitofautiana na viongozi wa chadema kuhusu kumpokea Lowasa
Mbona wakati wa mwenda zake alinukuliwa akisema Tundu Lissu alipigwa risasi na chadema wenyewe na vipi hapo ? au ni lowasa alisababisha tena?
 
Hicho kikongwe hakina content zaidi kuona umaarufu umeshuka na kuona njia rahisi ya kumpaisha ni hoja ya bandari hakahaka kazinzi kalisema kamekamata container la kura mbeya ndio maana mshumbushi anakabutua
Na Samia alishasema kipi. Naona hata kumnukuu tu huwezi kwa vile hakuna kitu pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…