Elections 2010 Dk Slaa on Clouds FM

Elections 2010 Dk Slaa on Clouds FM

Yawezekana clouds walimtafuta dk wenyewe ili kuleta uwiano. Suala la kukatisha mazungumzo linawezekana kwani wanaingiza hela kwa matangazo na ndio yanayodhamini huo mdahalo. So guys, stay tuned. After all the dk is yet to be presidaa... Until nov.
 
Nape Nnauye ana gundu gani? Alipogombea uenyekiti uvccm akapigwa changa la macho. Sasa hivi tena siku zake za ukuu wa wilaya zinahesabika, hata probation hajamaliza!
 
jana nilisema tbc wahuni

na hao clouds fm ngoja nione leo kama wanaweza
 
Anarudia katika Jimbo la Rais wametumia bilioni 3 kujenga matunda ya vyoo kwenye shule ya msingi.. anasema huu ni "wizi, ni ufisadi"!! Anashangaa kama hilo limetoka kwenye Jimbo la Rais mwenyewe huko kwingine kutakuwaje?
 
Ametoa mfano wa shule za Bagamoyo zilizotumia milioni 700 kujenga matundu manne ya choo, yaani takribani 3.2 bilion kwa shule 5
 
Jamani kwa udadavuzi huu wa dk elimu bure inawezekana! Saruji na bati kwa buku 5 inawezekana!
 
Ukusanyaji wa kodi za Taifa zinatumika kuendesha serikali badala ya kutoa huduma kwa wananchi, wananunua magari na masofa.
 
ngoja tuone atakavyoelezea maisha yake binafsi..................!ndoa,na kila kitu
 
Uyu babra eti anataka kumuuliza dr.SLAA kuhusu ndoa yake! Babra anatafta boyfriend nn? Mwambie aulize mambo ya kitaifa bwana.
 
Elimu bure inawezekana, halafu SiSiM wanadai kuwa CDM imeiiba sera yao nao wametangaza kuwa hakutakuwa na mchujo darasa la saba. Sasa sijui ni kama kuinua elimu au ndio kuiua kifo cha mende!
 
Dr Slaa hawe makini na vyombo vya habari!maana Clouds ni chombo kichoegemea zaidi CCM!!!!
 
Kumbe Babla hamnazo eeee? Hando anauliza maswala ya msingi yeye anauliza mambo ya ndoa ya slaa???? inasaidia nini kwenye maendeleo ya nchi? hivi kame olewa au bado wadau na atajisikiaje tukianza kungalia personal affairs zake na kuzihusisha na utangazaji. kuna Tija hapo? Nijibuni wana JF kama ameolewa na kama alishawahi kutelekezwa.
 
Wameanza mambo ya kitoto kuulizia ndoa yake
wakuu acheni hizo.....!
hawa watu wanasoma MASWALI YALIYOTUMWA NA WATANZANIA.....!hawatoi maswali kwa ruge wala kusaga......

hebu jaribuni kutweet na ku-follow PB CLOUDS FM.
 
Dr Slaa hawe makini na vyombo vya habari!maana Clouds ni chombo kichoegemea zaidi CCM!!!!

kaka Slaa yupo makini, yote haya anayajua. matokeo yake wanampigia kampeni tu kuwafikia ambao alikuwa nbado hajawafikia.
 
Unajua unapokuwa na ufinyu wa upeo unaanza na mambo ya binafsi ukidhani kuwa ndio maendeleo ya Taifa, nasubiri amuulize na JK eti unakwendaga kwenye taarabu pale Traventine ilhali wewe ni Rais?
 
Dr Slaa hawe makini na vyombo vya habari!maana Clouds ni chombo kichoegemea zaidi CCM!!!!

mzee kwa uwezo wa Slaa na hekima yake hakuna propaganda zitakazomshinda, huyo ni msomi wa saikolojia anaijua vizuri clouds na anajua maswali ya haina gani ataulizwa, maana hata mimi ningeona ajabu wasingemuuliza habari zake na mkewe?
 
Back
Top Bottom