Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,191
Mtu anaposema kwamba UHAI WAKE UPO HATARINI na tena kwa kuzingatia kauli za kutatanisha alizozitoa Mhe Pinda hapo jana maana yake ni kwamba swala hili lazima tukaliangalie kwa uzito wote bila ajizi!!!!!!!!!!!!!
Dr Ulimboka tayari kanukuliwa akisema vitisho kuzidi hadi dakika hii kutafuta roho yake. Attentio ya vyombo huru sasa linafuatilia jambo hili kuliko hata mgomo wenyewe ambao ni haki ya madaktari wetu hata hivyo.