Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,191
then Ulimboka ni shujaa na anaendeleza mapambano mafichoni.... recall Kagame, Museveni, Samora, Mondlane, etc
...Akiongea na Channel Ten,Mwenyekiti wa jumuiya ya madaktari..Dr Ulimboka,ameongea kutoka mafichoni na kusema kuwa mgomo uko pale pale na utakuwa unashika kasi kwa mfumo tofauti tofauti..alipoulizwa kwanini hataki kujitokeza hadharani amesema amepata taarifa kuwa anatafutwa na usalama.Na amewaimiza madaktari kuendelea kugoma mpaka serikali itakapokuja kusikiliza madai yao.
source:Channel Ten.
Savimbi, Dhlakama, Meles Zenawi, Kony, Dr. John Garang, Leonard Nyangoma, Pierre Nkurunzinza, Agaton Rwasa, Mugabe, Mandela, Dos Santos, Kenyatta, nk. Hao walikuwa wakipigana msituni wakiwa na vyama vya siasa. Dr. Ulimboka ana chama kipi cha kisiasa na military wing gani?
Anakimbia kivuli chake! Kwa hiyo anawasiliana na wanajeshi wake kwa njia gani? Ukiona anakimbia na kijificha ujue ndio mwisho wa vita. Siku niliyosikia kamanda Gaddafi (RIP) ameikimbia Tripoli nikajua kamanda wangu ameisha. Nikatamani akimbilie nchi yoyote ili watesi wake wasije kumnasa. Dr. naye is on the run!tusiwe wajinga wanausalama wangemtaka wangeanza mapema kabla pinda hajatoa msimamo
jamaa anapenda sifa za kijinga sana toka zamani namjua vizuri
Mkuu MTM, umenipa jioni njema, comment za hili lijamaa ni za kukurupuka uharo wa kipindupindu.
Cha kushangaza ndio hicho, anaogopa nini kama kweli yupo kwenye haki?
Tukiwaambia hawa ni wachochezi, hamkubali.
we si ulikuja hapa kulalama hayohayo na system yako kuhusu mwandosya na yule mama mliyeingiliana kule kwenye maji na kwenye jamii??? fichuka basi na wewe utoke humo kwenye ushungi basiCha kushangaza ndio hicho, anaogopa nini kama kweli yupo kwenye haki?
Tukiwaambia hawa ni wachochezi, hamkubali.
Savimbi, Dhlakama, Meles Zenawi, Kony, Dr. John Garang, Leonard Nyangoma, Pierre Nkurunzinza, Agaton Rwasa, Mugabe, Mandela, Dos Santos, Kenyatta, nk. Hao walikuwa wakipigana msituni wakiwa na vyama vya siasa. Dr. Ulimboka ana chama kipi cha kisiasa na military wing gani?
Shujaa anajificha tena? Huko mafichoni ana silaha gani na analindwa na nani?
jamaa anapenda sifa za kijinga sana toka zamani namjua vizuri
Haya Kimbunga vunjika mguu, mbavu ukatibiwe MOI, Muhimbili....Anakimbia kivuli chake! Kwa hiyo anawasiliana na wanajeshi wake kwa njia gani? Ukiona anakimbia na kijificha ujue ndio mwisho wa vita. Siku niliyosikia kamanda Gaddafi (RIP) ameikimbia Tripoli nikajua kamanda wangu ameisha. Nikatamani akimbilie nchi yoyote ili watesi wake wasije kumnasa. Dr. naye is on the run!
Kama nchi ina watu wa aina hii inawaita "usalama wa taifa", hata bibi yangu angeweza kumchoma na mkuki kiwete na kutoroka bila "usalama wa taifa" kujua nini kimetokea.Ni kweli si kila akimbia katika vita ameshindwa, huenda anajipanga kwa mashambulizi ya nguvu zaidi. LAKINI HUYU ULIMBOKA KWANI HATA AKIKAMATWA UNAFIKIRI KAMADAI NI YA MSINGI NGUVU YA UMMA ITAKUWA KIMYA!? KWANI HAO MADAKTARI WANAMTEGEMEA YEYE KUWAONGOZA KUJUA HAKI ZAO NA KUZIDAI!? MIMI SIDHANI, KUWA NA MAWAZO HAYO SI SAHIHI VINGINEVY NI KUAWATUSI HAO MADAKTARI WENGINE KWAMBA WANABURUZWA NAYE BILA KUJUA MSINGI WA MADAI YAO.