ACHANA NA VITA YA MSITUNI. KAMA UNAUHAKIKA NA MADAI YENU YANINI KUWAOGOPA WANUSALAMA!? OGOPA MAJAMBAZI NA WAUUWAJI AU WANAUSALAMA WANAMAANA NYINGINE KWAKO? WAFIKIRI WATAKUPOTEZA!?
"Mbegu inapokufa (kufukiwa) ardhini huzaa mamia kwa mamilioni" kama unuhakika usijifiche.
Tofautisha hayo mawili.kichwa cha ulimboka hakina thamani kwa usalama kaogopa maagizo ya pinda kumbe anagopa kufa mbona anasimamia mgomo wa kuua wagonjwa
jamaa anapenda sifa za kijinga sana toka zamani namjua vizuri
kichwa cha ulimboka hakina thamani kwa usalama kaogopa maagizo ya pinda kumbe anagopa kufa mbona anasimamia mgomo wa kuua wagonjwa
jeshi la ulimboka karibu linashindwa yetu macho
Wamefanya makosa. Jana wameambiwa wakakutane na PM wao wakajificha. Kama una nia nzuri ya majadiliano kwa nini ujifiche?
Kwa kauli za hatari sana alizozitumia Mhe Pinda, lawama zote zitamuangukia yeye Dr Ulimboka akipatwa na jambo lolote ama kwa uhai wake au usalama wa ajira yake leo ama kesho!!!!!!!!!
Nchi hii Hakuna wauaji Kama watu wa usalama. Mifano tunayo ya kutosha. Ajifiche tu
Mkuu serikali unwillingly or unknowingly may be waging a war they are destined to lose. They may hunt Doctors by guns and doctors may hunt them silently with their profession. Police may be told to hunt doctors, what will happen if doctors agree to go back to their seats and start hunting police and politicians with their profession. There are cases where doctors may not be able to rescue but what if they turn cases which they are able to rescue into those which they can't rescue?. Who will suffer?, Police should fear for their lives on this move, unless they are sure that they will be send to India for their illnesses.
The Govt should use common sense on this fracas or force the victory agaings doctors by setting an endless battle between security officers and politicians on one hand against doctors on th other when the earlier are ill.
Kwa kauli za hatari sana alizozitumia Mhe Pinda, lawama zote zitamuangukia yeye Dr Ulimboka akipatwa na jambo lolote ama kwa uhai wake au usalama wa ajira yake leo ama kesho!!!!!!!!!
Nakubaliana na wewe kuwa wamefanya kosa ingawaje pia tujiulize imechukua muda gani hadi serikali kutoa nafasi ya kuzungumza nao tangu wameanza mgomo.Wamefanya makosa. Jana wameambiwa wakakutane na PM wao wakajificha. Kama una nia nzuri ya majadiliano kwa nini ujifiche?
Cha kushangaza ndio hicho, anaogopa nini kama kweli yupo kwenye haki?
Tukiwaambia hawa ni wachochezi, hamkubali.
Nakumbuka maandiko ya Biblia yanayosema, "nitampiga mchungaji na kondoo watatawanyika"
Shujaa anajificha tena? Huko mafichoni ana silaha gani na analindwa na nani?
sijajua hasa wewe huwa unatetea nini
fichuka basi na wewe useme jina lako... Mambaff