Dk Stephen Ulimboka Jembe na Nguzo ya MADAKTARI Nchini

Dk Stephen Ulimboka Jembe na Nguzo ya MADAKTARI Nchini

ACHANA NA VITA YA MSITUNI. KAMA UNAUHAKIKA NA MADAI YENU YANINI KUWAOGOPA WANUSALAMA!? OGOPA MAJAMBAZI NA WAUUWAJI AU WANAUSALAMA WANAMAANA NYINGINE KWAKO? WAFIKIRI WATAKUPOTEZA!?
"Mbegu inapokufa (kufukiwa) ardhini huzaa mamia kwa mamilioni" kama unuhakika usijifiche.

Nchi hii Hakuna wauaji Kama watu wa usalama. Mifano tunayo ya kutosha. Ajifiche tu
 
ULIMBOKA acha uwoga kama umekubali kulianzisha hili kubali kufa nalo,wafuasi wako watakosa imani na wewe!Kama ungekuwa ni most wanted na uhakika sasa hv ungekuwa upo chini ya vyombo vya dola tayari!!Halafu ninaswali kidogo mbona hili suala lilianza na madaktari wa internship ghafla likahamia kwenye magari,mishahara,bima nk kaka hakuna watu wanaokutumia kwa interest zao kweli wewe?Hv unaamini kuwa serikali inaweza kuwalipa Mil3.5 madaktari wote nchini kwa mwezi?tena unayeongoza wewe siyo daktari wa serikali,mimi na wasiwasi sana na wewe!!
 
Kwa kauli za hatari sana alizozitumia Mhe Pinda, lawama zote zitamuangukia yeye Dr Ulimboka akipatwa na jambo lolote ama kwa uhai wake au usalama wa ajira yake leo ama kesho!!!!!!!!!

Mkuu serikali unwillingly or unknowingly may be waging a war they are destined to lose. They may hunt Doctors by guns and doctors may hunt them silently with their profession. Police may be told to hunt doctors, what will happen if doctors agree to go back to their seats and start hunting police and politicians with their profession.

There are medical cases where doctors may not be able to rescue, my fear is what if they decide to turn medical cases which they are able to rescue into those which they can't rescue?. Who will suffer?, Police should fear for their lives on this move, unless they are sure that they will be send to India for their illnesses.

The Govt should use common sense on this fracas or force the victory against doctors by setting an endless battle between security officers and politicians on one hand against doctors on th other when the earlier are ill.
 
Mkuu serikali unwillingly or unknowingly may be waging a war they are destined to lose. They may hunt Doctors by guns and doctors may hunt them silently with their profession. Police may be told to hunt doctors, what will happen if doctors agree to go back to their seats and start hunting police and politicians with their profession. There are cases where doctors may not be able to rescue but what if they turn cases which they are able to rescue into those which they can't rescue?. Who will suffer?, Police should fear for their lives on this move, unless they are sure that they will be send to India for their illnesses.

The Govt should use common sense on this fracas or force the victory agaings doctors by setting an endless battle between security officers and politicians on one hand against doctors on th other when the earlier are ill.

Hii ni kweli kabisa wakiamua watawapukutisha wote,akija na Maralia unamdunga sindano ya omo yenye mchanganyiko na sumu,akafie mbele huko wanasiasa wao watakimbilia India
 
Jaribu kumzoea waziri wako mkuu! Ushawahi msikia anatoa kauli za hatari? Alishasema nini kikatekelezwa?
Kwa kauli za hatari sana alizozitumia Mhe Pinda, lawama zote zitamuangukia yeye Dr Ulimboka akipatwa na jambo lolote ama kwa uhai wake au usalama wa ajira yake leo ama kesho!!!!!!!!!
 
Wamefanya makosa. Jana wameambiwa wakakutane na PM wao wakajificha. Kama una nia nzuri ya majadiliano kwa nini ujifiche?
Nakubaliana na wewe kuwa wamefanya kosa ingawaje pia tujiulize imechukua muda gani hadi serikali kutoa nafasi ya kuzungumza nao tangu wameanza mgomo.
 
Mtamwona shujaa sana huyu daktari na kuupa sifa mgomo wao kwa vile hujabahatika kukutana na madhara yake. Laiti kama una mgonjwa na yuko katika hali tete mf. Mkeo anatakiwa kujifungua kwa operation, na daktari hapatikani. Huwezi sifia mgomo tena wa watu muhimu sana kama madaktari.
 
Kwa wabunge maisha yamepanda sana,nimepewa jukumu la kusaini posho zao,kwa madaktari wabinafsi sana hawa,tutawafuta kazi,serikali haina uwezo,ni limbukeni tu anayeweza kusifia hoja mfu za PM
 
Back
Top Bottom