Mr-Njombe
Member
- Aug 29, 2022
- 64
- 122
Anaaminika kwa lipi hasa hata apewe taarifa na kujulishwa mambo kadha wa kadha ya kitaifa na watu anaowaita wana usalama juu ya kinachoendelea nchini?
Ana umuhimu gani au ana ushawishi kwenye lipi hasa humu nchini hasa ukilinganisha historia ya maisha yake ya kifamilia na siasa ilivyogubikwa na vitimbi vya ukosefua wa uadilifu, uaminifu hekima na busara?
Kuna uwezekano maisha yake magumu yamemforce kujiingiza kwenye hili linalomuelemea na kuteseka nalo kwasasa, huku lengo ni kupima ushawishi wake na kuvutia vyama vya siasa vimuone kama anaefaa kuwekwa frontline kwenye hiki kinachoitwea vuguvugu la mabadiliko?
Unadhani amejipalia mkaa yeye mwenyewe au amejaribu kutaka kuwachonganisha na kuwafarakanisha wana usalama na serikali yao nchini? au unaonaje lakini pia Dr.Slaa ni mwana chama wa chama kipi cha siasa?