Dk. Wilbroad Slaa ni mwanachama wa chama gani cha siasa Tanzania?

Dk. Wilbroad Slaa ni mwanachama wa chama gani cha siasa Tanzania?

Ngoma bado ipo CCM, ila ina kinyongo nao kuporwa ubalozi.
At the background bado ina kinyongo na Mbowe baada ya EL kuja na kugomnbea Urais.
 
Leo hii Dr slaa alieikimbia chadema akalamba asali ya ubalozi,wana Chadema ndio wana muamini saana kuliko Mwenyekiti wao 😀😄🙆

Wanamtukana Mwenyekiti wao matusi yote,kweli wanachama wana akili za kinyumbu tu
hata wao wamechanganyikiwa tu hata hawaelewi wanahitaji nini :pulpTRAVOLTA:
 
Back
Top Bottom