F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 34,181 Reaction score 41,563 Jan 11, 2025 #21 Ngoma bado ipo CCM, ila ina kinyongo nao kuporwa ubalozi. At the background bado ina kinyongo na Mbowe baada ya EL kuja na kugomnbea Urais.
Ngoma bado ipo CCM, ila ina kinyongo nao kuporwa ubalozi. At the background bado ina kinyongo na Mbowe baada ya EL kuja na kugomnbea Urais.
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 24,665 Reaction score 25,388 Jan 11, 2025 #22 kopites said: Leo hii Dr slaa alieikimbia chadema akalamba asali ya ubalozi,wana Chadema ndio wana muamini saana kuliko Mwenyekiti wao πππ Wanamtukana Mwenyekiti wao matusi yote,kweli wanachama wana akili za kinyumbu tu Click to expand... hata wao wamechanganyikiwa tu hata hawaelewi wanahitaji nini
kopites said: Leo hii Dr slaa alieikimbia chadema akalamba asali ya ubalozi,wana Chadema ndio wana muamini saana kuliko Mwenyekiti wao πππ Wanamtukana Mwenyekiti wao matusi yote,kweli wanachama wana akili za kinyumbu tu Click to expand... hata wao wamechanganyikiwa tu hata hawaelewi wanahitaji nini