Dk. Zainab sasa awa kisingizio, wanaume wengi wadai walizimia kwa huduma zake, ndio sababu ya wao kuchelewa nyumbani

Kwa hyo kuandika kwa kuficha ficha hivi kama umbea wa watoto wa kike ndo ukubwa ?

We si ni great thinker weka mada ijadiliwe mezani sio umbea na code kama page za udaku Instagram
Kweli JF ya siku hizi imevamiwa na watoto wa . Com sisi Ma GT original tumeshajua nini kinaendelea. Kweli Dr Zainabu kiboko hata Mimi ananijua kuliko ninavyomjua

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh! nimetoka kapa
nini kinaendelea kwan wengine tupo shambani kulima nyanya
Nielewesheni wakuu hizo code zenu twende sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nami pia nasubiri mkuu...!
Wakuu fungueni code au kama ilianzishwa Thread basi itupiwe humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimetoka kapa
Kwa hyo kuandika kwa kuficha ficha hivi kama umbea wa watoto wa kike ndo ukubwa ?

We si ni great thinker weka mada ijadiliwe mezani sio umbea na code kama page za udaku Instagram

Sent using Jamii Forums mobile app
Who is she ?
Kuna nini jamani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati Magufuli akiwahutubia madaktari, alisikika akimtaja Dr Zainab kwamba anamjuwa kuliko yeye Magufuli anavyo mfahamu. Na hii ilikuwa ni kwasababu alijikuta akiwa amelazwa baada ya kuzimia, na huyu Dr Zainab ndie aliyekuwa akimhudumia.
Sasa......
Mleta mada anamaanisha kwamba, wanaume wengi wameanza kuchelewa kurejea nyumbani kwa kisingizio kwamba walikuwa wamezimia, na Dr Zainab ndie alikuwa anawahudumia ndio sababu hasa ya wao kuchelewa kurejea nyumbani.

Ahsante Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Screenshot_20200220-142306-picsay.jpeg
 
Wakati Magufuli akiwahutubia madaktari, alisikika akimtaja Dr Zainab kwamba anamjuwa kuliko yeye Magufuli anavyo mfahamu. Na hii ilikuwa ni kwasababu alijikuta akiwa amelazwa baada ya kuzimia, na huyu Dr Zainab ndie aliyekuwa akimhudumia.
Sasa......
Mleta mada anamaanisha kwamba, wanaume wengi wameanza kuchelewa kurejea nyumbani kwa kisingizio kwamba walikuwa wamezimia, na Dr Zainab ndie alikuwa anawahudumia ndio sababu hasa ya wao kuchelewa kurejea nyumbani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umetoa ufafanuzi uliokwenda shule
 
Bora umewafafanulia hao watoto wa ,com wasiojua nini kinaendelea huku sio fesibuuuuukuuuuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati Magufuli akiwahutubia madaktari, alisikika akimtaja Dr Zainab kwamba anamjuwa kuliko yeye Magufuli anavyo mfahamu. Na hii ilikuwa ni kwasababu alijikuta akiwa amelazwa baada ya kuzimia, na huyu Dr Zainab ndie aliyekuwa akimhudumia.
Sasa......
Mleta mada anamaanisha kwamba, wanaume wengi wameanza kuchelewa kurejea nyumbani kwa kisingizio kwamba walikuwa wamezimia, na Dr Zainab ndie alikuwa anawahudumia ndio sababu hasa ya wao kuchelewa kurejea nyumbani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom