watambi
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 332
- 265
We ni mmoja wao hata Avatar yako inajionyesha, Member since 2017Kwa imevamiwa na watoto wewe unatakaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ni mmoja wao hata Avatar yako inajionyesha, Member since 2017Kwa imevamiwa na watoto wewe unatakaje?
Ndio maana nikakuuliza, kama jf imevamiwa na watoto unadhani nini kifanyike?
Kweli JF ya siku hizi imevamiwa na watoto wa . Com sisi Ma GT original tumeshajua nini kinaendelea. Kweli Dr Zainabu kiboko hata Mimi ananijua kuliko ninavyomjua
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimemuuliza swali jepesi amebaki anarukaruka huku na kule. Anadhani kujiunga jf 2011 ndo kuwa great thinker.Kwa hyo kuandika kwa kuficha ficha hivi kama umbea wa watoto wa kike ndo ukubwa ?
We si ni great thinker weka mada ijadiliwe mezani sio umbea na code kama page za udaku Instagram
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana nae Mara nyingi wale wanaojiita ma great thinker ndoMimi nimemuuliza swali jepesi amebaki anarukaruka huku na kule. Anadhani kujiunga jf 2011 ndo kuwa great thinker.
Who is she ?Sasa hii imeonekana ndio sababu ya wanaume kuchelewa nyumbani
Kila Nyumba anatajwa DK zainab kwamba ndio chanzo na kwamba walizimia usiku kucha.
Jamani
Mh! nimetoka kapa
nini kinaendelea kwan wengine tupo shambani kulima nyanya
Nami pia nasubiri mkuu...!
Wakuu fungueni code au kama ilianzishwa Thread basi itupiwe humu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimetoka kapa
Kwa hyo kuandika kwa kuficha ficha hivi kama umbea wa watoto wa kike ndo ukubwa ?
We si ni great thinker weka mada ijadiliwe mezani sio umbea na code kama page za udaku Instagram
Sent using Jamii Forums mobile app
Who is she ?
Wakati Magufuli akiwahutubia madaktari, alisikika akimtaja Dr Zainab kwamba anamjuwa kuliko yeye Magufuli anavyo mfahamu. Na hii ilikuwa ni kwasababu alijikuta akiwa amelazwa baada ya kuzimia, na huyu Dr Zainab ndie aliyekuwa akimhudumia.
Ahsante Sana.Wakati Magufuli akiwahutubia madaktari, alisikika akimtaja Dr Zainab kwamba anamjuwa kuliko yeye Magufuli anavyo mfahamu. Na hii ilikuwa ni kwasababu alijikuta akiwa amelazwa baada ya kuzimia, na huyu Dr Zainab ndie aliyekuwa akimhudumia.
Sasa......
Mleta mada anamaanisha kwamba, wanaume wengi wameanza kuchelewa kurejea nyumbani kwa kisingizio kwamba walikuwa wamezimia, na Dr Zainab ndie alikuwa anawahudumia ndio sababu hasa ya wao kuchelewa kurejea nyumbani.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Umetoa ufafanuzi uliokwenda shuleWakati Magufuli akiwahutubia madaktari, alisikika akimtaja Dr Zainab kwamba anamjuwa kuliko yeye Magufuli anavyo mfahamu. Na hii ilikuwa ni kwasababu alijikuta akiwa amelazwa baada ya kuzimia, na huyu Dr Zainab ndie aliyekuwa akimhudumia.
Sasa......
Mleta mada anamaanisha kwamba, wanaume wengi wameanza kuchelewa kurejea nyumbani kwa kisingizio kwamba walikuwa wamezimia, na Dr Zainab ndie alikuwa anawahudumia ndio sababu hasa ya wao kuchelewa kurejea nyumbani.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787] makubwa haya..dk zainab anamjua kila kitu..!!..[emoji848][emoji848][emoji2211][emoji2211][emoji2211] View attachment 1366986
Amemalizia kwa kusema kuwa Dr. Zainabu anamjua kila kitu vizuri![emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji1787][emoji1787] makubwa haya..dk zainab anamjua kila kitu..!!..[emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora umewafafanulia hao watoto wa ,com wasiojua nini kinaendelea huku sio fesibuuuuukuuuuuuuWakati Magufuli akiwahutubia madaktari, alisikika akimtaja Dr Zainab kwamba anamjuwa kuliko yeye Magufuli anavyo mfahamu. Na hii ilikuwa ni kwasababu alijikuta akiwa amelazwa baada ya kuzimia, na huyu Dr Zainab ndie aliyekuwa akimhudumia.
Sasa......
Mleta mada anamaanisha kwamba, wanaume wengi wameanza kuchelewa kurejea nyumbani kwa kisingizio kwamba walikuwa wamezimia, na Dr Zainab ndie alikuwa anawahudumia ndio sababu hasa ya wao kuchelewa kurejea nyumbani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia wewe me nipo humu tangu hii kitu inaitwa Jambo Forum sidhani Kama unajua Jambo hiloMimi nimemuuliza swali jepesi amebaki anarukaruka huku na kule. Anadhani kujiunga jf 2011 ndo kuwa great thinker.

😀😀😀😀😀😀Tulia wewe me nipo humu tangu hii kitu inaitwa Jambo Forum sidhani Kama unajua Jambo hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Upumbavu mtupu, GT kupoteza muda kujadili swala la kipuuzi kama hili ni uzwazwa na ukosefu wa kazi za kufanya.Bora umewafafanulia hao watoto wa ,com wasiojua nini kinaendelea huku sio fesibuuuuukuuuuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran sana mkuuWakati Magufuli akiwahutubia madaktari, alisikika akimtaja Dr Zainab kwamba anamjuwa kuliko yeye Magufuli anavyo mfahamu. Na hii ilikuwa ni kwasababu alijikuta akiwa amelazwa baada ya kuzimia, na huyu Dr Zainab ndie aliyekuwa akimhudumia.