Dkt. Abbas afunga ndoa na Mamy Baby wa Clouds Media

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo, leo hii tar 30-12-2022 amefunga ndoa halali na Mamy Baby wa kipindi cha XXL, Clouds Fm.

Mtangaziaji huyo ambaye jina lake kamili ni Mkuwe Issale, alianzia majukumu yake katika redio ya East Africa kabla ya kihamia Clouds.

Tunawatakia kila la kheri.
 
Katibu Mkuu huyo wa Wizara ya Utamaduni na michezo leo ameonekana hadharani akifunga ndoa na Mwanamke anayejulika kwa jina la Mammy baby , ambaye inasemekana ni Mtangazaji wa Clouds FM kipindi cha XXL

Haijulikani mahali ilikofungwa ndoa hiyo wala ukumbi kutakakokuwa na Sherehe za Harusi hiyo .

Pia haijajulikana kama ni ndoa ya kwanza , ya pili au ya tatu .

Tunawatakia kila la heri
 
Ndoa imefanyikia tabora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…