Dkt. Abbas afunga ndoa na Mamy Baby wa Clouds Media

Dkt. Abbas afunga ndoa na Mamy Baby wa Clouds Media

Uzi usindikizwe na ngoma ya Bado niponipo ya MwanaFa "ukiambiwa ni boyfriend haimanishi uko peke yako wadogo usoni wanahifadhi wazee wako sijui ni dhiki au nitamaa tu watoto wanaendekeza njaa tu hawangalii mapenzi wanachoona ni mkwanja"
[emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]weee wanakuambia mapenzi akili moyo baadae
 
Mamy baby kaamua kuacha mkuyengee kafuata mahela .....

Pesa ndio kila kitu mazee ...


Hata kama unampelekea moto mwanamke Kwa bed Kama huna pesa wewe ni mbwa tu [emoji3][emoji3][emoji3]
Woiooii[emoji3]
 
Nyie Vijana wa 2000s acheni kumuita Abbass mzee...huyo bado yupo kwenye kundi la Vijana linaloanzia miaka 18-45....
Hongereni maharusi.
 
Back
Top Bottom