johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
CCM inakupenda bwashee!Mimi nipo upande wa serikali ingawa maccm siyapendi
Hata covid 19 wanailinganisha na CHADEMA, kweli slowslow hamnazoCCM inakupenda bwashee!
Je watoto wakiume wanaowabebesha mimba wafanyweje?Watoto wa kike hawatakiw kusamehewa hata kidogo wanafanya makusudi
Hapo ndio kumaanisha wametofautiana? Au msimamo wa serikali upo palepale? Maana Abdul Nondo anataka warudi shuleni baada ya kujifungua kama nani?Dr Abbas ambaye ni msemaji mkuu wa serikali anasema wanafunzi wanaopata mimba shuleni hawatarudi kuendelea na masomo katika mfumo rasmi bali wataruhusiwa kupitia mfumo usio rasmi yaani private candidates.
Abdul Nondo boss wa vijana pale ACT wazalendo anapinga vikali yeye anataka wanafunzi hawa baada ya kujifungua warudi katika mfumo rasmi wa masome ili wawe na sifa ya kukopesheka na Bodi ya mikopo watakapochaguliwa kujiunga na vyuo vya elimu ya juu.
Mjadala ni mkali kweli kweli ndani ya kipindi cha Tuongee asubuhi. Star tv.
Nani yuko sahihi?
Maendeleo hayana vyama!
Well said!Kuna mambo ambayo lazima kama jamii yenye upekee wake tuyasimamie hata kwamba tunatofautiana kiitikadi.
Moja ya jambo hili ni mimba kwa wanafunzi. Siafiki mwanafunzi apate Ujauzito kurudi katika mfumo rasmi wa elimu kama wenzake ambao hawajapata.
Hapa tutahalalisha umama, baba na hata ushemeji katika shule/darasa na ile dhana ya uanafunzi kufa kifo cha kawaida.
Kila kitu kinautaratibu wake. Tutambue pia kuwa shule ni ni chombo ambacho jamii inawatengeneza wanajamii wa baadae katika kuiendeleza jamii husika kwa siku za usoni. Na kwamba, ni unapokuwa shuleni basi uzingatie ile miiko ambayo jamii imeona haipaswi kuvunja na watoto wake ndio maana wakapelekwa shule.
Sasa kama huyu aliyepelekwa shule ameona hawezi kufata misingi hiyo ya jamii ya nini kumuendeleza katika jambo ambalo hakulizingatia?
Shule zibaki kuwa shule na taratibu, sheria, utamaduni na majuzi zake zisimamiwe. Ikiwa ikatokea mwanafunzi akapata Ujauzito basi, apelekwe katika mfumo mbadala usio rasmi na ule aliokengeuka ili shule na malengo ya shule katika jamii yabaki kama ambavyo jamii inapenda iwe.
Sio kila atakalo mfadhili ni jambo jema ktk mfadhiliwa.
Mada imeisha mwenye sikio na asikie.Kuna mambo ambayo lazima kama jamii yenye upekee wake tuyasimamie hata kwamba tunatofautiana kiitikadi.