Dkt. Abbas na Watendaji wengine mlioko Serikalini kama hatuna uhakika na Viingereza vyetu vya 'Ukubwani' na 'Uchochoroni' tutumie tu Kiswahili chetu

Sasa kulikuwa na Haja gani huyo Dr.abbas kuongea lugha ambayo haifahamu vizuri si angeongea kiswahili tuu au alilazimishwa?
 
Sisi watakaam wa syntax na semantic yupo sahihi. Kwa maana ya kueleweka, Si ameeleweka , ila ukiingia ndani sasa ndio tunasema ambiguities ipo
 
Duh, umerusha jiwe gizani. Uzuri limempata (Dr. !!!) Abbas huko alipo.
 
Mimi ningesema: Currently, a lot of reforms are ongoing in the Ministry. Ila cha msingi awe ameeleweka.
 
Dr. Abbas yuko sahihi kabisa. Ukimsikiliza vizuri, ametelezesha (amemeza) ^are^ kiasi kwamba msikilizaji ambaye ni GENTAMYCINE , kwa ubovu wake wa lugha, amechanganya ^s^ kwenye ^reforms^ akidhani ndicho kitenzi alichotumia Daktari.

Illustration: ^A lot of reformS (...) going on...^

It means, kwa mtu aliyezoea kunywa ngeli kama Dkt. Abbas, usipomsikiliza vizuri, huwezi kugundua kuwa kaitamka ^are,^ na hivyo ^s^ mwishoni mwa REFORMS ndiyo inaweza kudhaniwa kuwa ni kitenzi husika alichotumia.

Kuweni ^mar-key-knee^ mnapodhani mnakosoa, kumbe mnakosea!
 
Yupo sahihi kabisa gramatically ukishasema neno 'a lot' huwezi ukaweka neno 'are', a lot is used for uncountable objects ila ukitumia neno 'many' ndio unaweka 'are' kwa kuwa hutumika kwa vitu vinavyohesabika au 'countable objects'. Kwa mfano "There is a lot of noise outside' na 'There are many people in the office'.

Vijana mjifunze kiingereza sio kukosoa wenzenu, i rest my case!
 
Umetunga sentensi yako tofauti na ile ya mwanzisha-mada.

A lot of water has been spilt all over the floor.

A lot of serious individuals are murmuring over this present, corrupt regime.
 
There are a lot of people. If what follows "a lot" can be counted, it is considered plural. If what follows "a lot" cannot be counted, it is singular.

There is a lot of sugar. (Sugar is conventionally uncountable noun.)

There is a lot of furniture in the room.

There are a lot of problems to solve.
 
Zote sawa tu, ilimradi ameeleweka.
2 HAPANA kwa maoni ya ijapokuwa hata mm nakidandia tu .neno alot halafu reforms naona kidogo kuna ukakasi lkn namba 4 naona iko vzr lkn haya ni maoni yangu tu wako manguli wa hiyo lugha humu ndani kama akina Paskal Mayala wao walisoma HGL pale Ilboru watatusaidia.
 
 
Namba 2, 3 na nne zote ni sahihi lkn 2 ni nzuri zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…