Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Uthibitisho mkubwa huu kwamba wengine wanasoma shule ili tu waufaulu mtihani. Applikesheni husika maishani ni nongwa & guyuguzo.Lot of and A lot of----, I pursued them when I was in std 7, so far I no longer remember.π€£
Kamwe kujifarijism haijawahi kumwacha mtu salama.Lugha maana yake ni mawasiliano tu si vinginevyo, muhimu unaowasiliana nao wakuelewe tu, that's it !!
Kiswahili chenyewe wengine kinatupa shida !! Nini maana ya guyuguzo ? !!Uthibitisho mkubwa huu kwamba wengine wanasoma shule ili tu waufaulu mtihani. Applikesheni husika maishani ni nongwa & guyuguzo.
Hakuna hata moja iliyonyooka mkuuJana jioni wakati nikisikiliza Kipindi cha BBC Dira ya Dunia ( kama kawaida yangu ) nilishtushwa kidogo nilipoisikia 'insert' ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari 'Mwanazuoni' Dkt. Hassan Abbas na 'Kiingereza' alichokitumia.
Wakati akizungumza kuhusiana na Masuala ya Habari, Wadau wa Habari huku akikaribisha Maoni ya Mabadiliko ya Kisera katika Wizara yake hiyo ndipo 'akachomekea' na Kiingereza chake hicho ili kuwadhihirishia Watu kuwa amesoma na hiyo 'Doctorate' yake hakuipata Kimakosa na hata huko Ulaya hadi Marekani ameishi vile vile.
Kiingereza chenyewe alichokisema ni hiki nakinukuu hapa..." A lot of reforms is going on now in our Ministry " mwisho wa Kumnukuu Msomi wa PhD Hassan Abbas.
Hivyo basi leo nawaomba wana JF wote ( ambao nawakubali sana kwa Kujua Kiingereza vyema ) japo nikiri tu kuwa GENTAMYCINE sikijui kabisa mnisaidie ni Sentensi ipi bora ( hasa Grammatically ) kati ya hizi zifuatazo.....
1. A lot of reforms is going on now in our Ministry
2 There has been a lot of reforms going on in our Ministry
3. A lot of reforms are going on now in our Ministry
4. There are lots of reforms going on now in the Ministry
Najua Wasomi Nguli ( Intellectuals ) hapa JamiiForums hamtaniangusha GENTAMYCINE katika Kunichagulia Kiingereza sahihi kabisa ( Grammatically ) kati ya Sentensi Nne hapo ( hapa ) juu.
Hakuna Lugha niipendayo duniani ( Ulimwenguni ) kama Kiswahili na hakuna Lugha ambayo huwa naipenda Kuisikia kwa Mtu akiiongea vizuri ( japo hata siijui ) kama ya Kiingereza na hakuna pia Lugha ambayo siipendi Mtu aikosee Kuizungumza kwa 'Kuishobokea' hata kama ( siijui ) kama ya Kiingereza.
Karibuni nyote mnifundishe Kiingereza.
GUYUGUZO --- a strange and irritating, continuous exasperation or annoyance that does not seem to go away in the near future.Kiswahili chenyewe wengine kinatupa shida !! Nini maana ya guyuguzo ? !!
Nadhani ulimaanisha "Minor" na sio "Miner"...hizi zina maana mbili tofauti...Miner grammatical errors are allowed when we speak than when we write. Kweli cha muhimu kaeleweka.
Kama kuchomekea maneno ilikuwa mtihani, sijui ni nini kingetokea angejaribu sentensi nzima.Ndiyo maana mwendazake hakuyataka hayo mambo yenu ya Kiingereza, ila alikuwa anapenda kuchomekea baadhi ya maneno, lakini siyo sentensi nzima.
.....When we write....Nadhani ulimaanisha "Minor" na sio "Miner"...hizi zina maana mbili tofauti...
Okay !GUYUGUZO --- a strange and irritating, continuous exasperation or annoyance that does not seem to go away in the near future.
Yupo sahihi Mana hakuna kingengereza Cha there are a lot of bli Ni there is a lot of hata Kama Ni vingi au vichacheJana jioni wakati nikisikiliza Kipindi cha BBC Dira ya Dunia ( kama kawaida yangu ) nilishtushwa kidogo nilipoisikia 'insert' ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari 'Mwanazuoni' Dkt. Hassan Abbas na 'Kiingereza' alichokitumia.
Wakati akizungumza kuhusiana na Masuala ya Habari, Wadau wa Habari huku akikaribisha Maoni ya Mabadiliko ya Kisera katika Wizara yake hiyo ndipo 'akachomekea' na Kiingereza chake hicho ili kuwadhihirishia Watu kuwa amesoma na hiyo 'Doctorate' yake hakuipata Kimakosa na hata huko Ulaya hadi Marekani ameishi vile vile.
Kiingereza chenyewe alichokisema ni hiki nakinukuu hapa..." A lot of reforms is going on now in our Ministry " mwisho wa Kumnukuu Msomi wa PhD Hassan Abbas.
Hivyo basi leo nawaomba wana JF wote ( ambao nawakubali sana kwa Kujua Kiingereza vyema ) japo nikiri tu kuwa GENTAMYCINE sikijui kabisa mnisaidie ni Sentensi ipi bora ( hasa Grammatically ) kati ya hizi zifuatazo.....
1. A lot of reforms is going on now in our Ministry
2 There has been a lot of reforms going on in our Ministry
3. A lot of reforms are going on now in our Ministry
4. There are lots of reforms going on now in the Ministry
Najua Wasomi Nguli ( Intellectuals ) hapa JamiiForums hamtaniangusha GENTAMYCINE katika Kunichagulia Kiingereza sahihi kabisa ( Grammatically ) kati ya Sentensi Nne hapo ( hapa ) juu.
Hakuna Lugha niipendayo duniani ( Ulimwenguni ) kama Kiswahili na hakuna Lugha ambayo huwa naipenda Kuisikia kwa Mtu akiiongea vizuri ( japo hata siijui ) kama ya Kiingereza na hakuna pia Lugha ambayo siipendi Mtu aikosee Kuizungumza kwa 'Kuishobokea' hata kama ( siijui ) kama ya Kiingereza.
Karibuni nyote mnifundishe Kiingereza.
Hata kama ndo aseme pipo uzed to dai in ze rekiNdiyo maana mwendazake hakuyataka hayo mambo yenu ya Kiingereza, ila alikuwa anapenda kuchomekea baadhi ya maneno, lakini siyo sentensi nzima.
Uthibitisho mkubwa huu kwamba wengine wanasoma shule ili tu waufaulu mtihani. Applikesheni husika maishani ni nongwa & guyuguzo.
|ππππKwani anamfikia Profesa Ndalichako huyu ....
Mie bado naamini yupo sahihi kwa sababu alishindwa kucount hayo ma-reforms ndio maana akatumia a lot na is kwa wakati mmoja, so hata kama kuna makosa lakini sio dhahiri kiasi cha mtu kukosoa, bado ni debetable kwakweliThere are a lot of people. If what follows "a lot" can be counted, it is considered plural. If what follows "a lot" cannot be counted, it is singular.
There is a lot of sugar. (Sugar is conventionally uncountable noun.)
There is a lot of furniture in the room.
There are a lot of problems to solve.