Dkt. Abbas na Watendaji wengine mlioko Serikalini kama hatuna uhakika na Viingereza vyetu vya 'Ukubwani' na 'Uchochoroni' tutumie tu Kiswahili chetu

Lot of and A lot of----, I pursued them when I was in std 7, so far I no longer remember.🤣
Uthibitisho mkubwa huu kwamba wengine wanasoma shule ili tu waufaulu mtihani. Applikesheni husika maishani ni nongwa & guyuguzo.
 
Jana jioni wakati nikisikiliza Kipindi cha BBC Dira ya Dunia ( kama kawaida yangu ) nilishtushwa kidogo nilipoisikia 'insert' ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari 'Mwanazuoni' Dkt. Hassan Abbas na 'Kiingereza' alichokitumia.

Wakati akizungumza kuhusiana na Masuala ya Habari, Wadau wa Habari huku akikaribisha Maoni ya Mabadiliko ya Kisera katika Wizara yake hiyo ndipo 'akachomekea' na Kiingereza chake hicho ili kuwadhihirishia Watu kuwa amesoma na hiyo 'Doctorate' yake hakuipata Kimakosa na hata huko Ulaya hadi Marekani ameishi vile vile.

Kiingereza chenyewe alichokisema ni hiki nakinukuu hapa..." A lot of reforms is going on now in our Ministry " mwisho wa Kumnukuu Msomi wa PhD Hassan Abbas.

Hivyo basi leo nawaomba wana JF wote ( ambao nawakubali sana kwa Kujua Kiingereza vyema ) japo nikiri tu kuwa GENTAMYCINE sikijui kabisa mnisaidie ni Sentensi ipi bora ( hasa Grammatically ) kati ya hizi zifuatazo.....

1. A lot of reforms is going on now in our Ministry

2 There has been a lot of reforms going on in our Ministry

3. A lot of reforms are going on now in our Ministry

4. There are lots of reforms going on now in the Ministry

Najua Wasomi Nguli ( Intellectuals ) hapa JamiiForums hamtaniangusha GENTAMYCINE katika Kunichagulia Kiingereza sahihi kabisa ( Grammatically ) kati ya Sentensi Nne hapo ( hapa ) juu.

Hakuna Lugha niipendayo duniani ( Ulimwenguni ) kama Kiswahili na hakuna Lugha ambayo huwa naipenda Kuisikia kwa Mtu akiiongea vizuri ( japo hata siijui ) kama ya Kiingereza na hakuna pia Lugha ambayo siipendi Mtu aikosee Kuizungumza kwa 'Kuishobokea' hata kama ( siijui ) kama ya Kiingereza.

Karibuni nyote mnifundishe Kiingereza.
Hakuna hata moja iliyonyooka mkuu
 
Ndiyo maana mwendazake hakuyataka hayo mambo yenu ya Kiingereza, ila alikuwa anapenda kuchomekea baadhi ya maneno, lakini siyo sentensi nzima.
Kama kuchomekea maneno ilikuwa mtihani, sijui ni nini kingetokea angejaribu sentensi nzima.
 
Jana jioni wakati nikisikiliza Kipindi cha BBC Dira ya Dunia ( kama kawaida yangu ) nilishtushwa kidogo nilipoisikia 'insert' ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari 'Mwanazuoni' Dkt. Hassan Abbas na 'Kiingereza' alichokitumia.

Wakati akizungumza kuhusiana na Masuala ya Habari, Wadau wa Habari huku akikaribisha Maoni ya Mabadiliko ya Kisera katika Wizara yake hiyo ndipo 'akachomekea' na Kiingereza chake hicho ili kuwadhihirishia Watu kuwa amesoma na hiyo 'Doctorate' yake hakuipata Kimakosa na hata huko Ulaya hadi Marekani ameishi vile vile.

Kiingereza chenyewe alichokisema ni hiki nakinukuu hapa..." A lot of reforms is going on now in our Ministry " mwisho wa Kumnukuu Msomi wa PhD Hassan Abbas.

Hivyo basi leo nawaomba wana JF wote ( ambao nawakubali sana kwa Kujua Kiingereza vyema ) japo nikiri tu kuwa GENTAMYCINE sikijui kabisa mnisaidie ni Sentensi ipi bora ( hasa Grammatically ) kati ya hizi zifuatazo.....

1. A lot of reforms is going on now in our Ministry

2 There has been a lot of reforms going on in our Ministry

3. A lot of reforms are going on now in our Ministry

4. There are lots of reforms going on now in the Ministry

Najua Wasomi Nguli ( Intellectuals ) hapa JamiiForums hamtaniangusha GENTAMYCINE katika Kunichagulia Kiingereza sahihi kabisa ( Grammatically ) kati ya Sentensi Nne hapo ( hapa ) juu.

Hakuna Lugha niipendayo duniani ( Ulimwenguni ) kama Kiswahili na hakuna Lugha ambayo huwa naipenda Kuisikia kwa Mtu akiiongea vizuri ( japo hata siijui ) kama ya Kiingereza na hakuna pia Lugha ambayo siipendi Mtu aikosee Kuizungumza kwa 'Kuishobokea' hata kama ( siijui ) kama ya Kiingereza.

Karibuni nyote mnifundishe Kiingereza.
Yupo sahihi Mana hakuna kingengereza Cha there are a lot of bli Ni there is a lot of hata Kama Ni vingi au vichache
 
Mm naona namba 2 kidogo ina nafuu Ila marekebidho kidogo hapo.

There has been hii ni past form of There is katika umoja.
Wingi wake inakua There have been wakati ulio pita au there are wakati uliopo.
Katika hiyo sentence kuna a lot kumaanisha nyingi hivyo sahihi ni kutumia There have been....

There have been a lot of reform going on in our ministry.

There have been fair amount of reformations going on in our ministry.

Nakaribisha maoni zaidi na ushari na kukosolewa.

Muhimu kutumia/kuzingatia SVOCA katika kutengeneza sentence za kiingereza.

Kwako kashasha
 
Uthibitisho mkubwa huu kwamba wengine wanasoma shule ili tu waufaulu mtihani. Applikesheni husika maishani ni nongwa & guyuguzo.

Rarely do I speak english in my daily activities, always I speak swahili, do you then expect me to master English?!, In my environment I do not have anybody with whom I can talk in English, how can I remember "a lot of" etc while my brain is filled with a lot of english language rust !!🤣.

Kiswahili oyeee!!
 
There are a lot of people. If what follows "a lot" can be counted, it is considered plural. If what follows "a lot" cannot be counted, it is singular.

There is a lot of sugar. (Sugar is conventionally uncountable noun.)

There is a lot of furniture in the room.

There are a lot of problems to solve.
Mie bado naamini yupo sahihi kwa sababu alishindwa kucount hayo ma-reforms ndio maana akatumia a lot na is kwa wakati mmoja, so hata kama kuna makosa lakini sio dhahiri kiasi cha mtu kukosoa, bado ni debetable kwakweli
 
Back
Top Bottom