Dkt. Abbas na Watendaji wengine mlioko Serikalini kama hatuna uhakika na Viingereza vyetu vya 'Ukubwani' na 'Uchochoroni' tutumie tu Kiswahili chetu

Dkt. Abbas na Watendaji wengine mlioko Serikalini kama hatuna uhakika na Viingereza vyetu vya 'Ukubwani' na 'Uchochoroni' tutumie tu Kiswahili chetu

Mie bado naamini yupo sahihi kwa sababu alishindwa kucount hayo ma-reforms ndio maana akatumia a lot na is kwa wakati mmoja, so hata kama kuna makosa lakini sio dhahiri kiasi cha mtu kukosoa, bado ni debetable kwakweli
Poor soul! Ukishasema ^a lot of,^ automatically countable noun husika lazima ifuatiwe na kitenzi katika wingi.
 
Poor soul! Ukishasema ^a lot of,^ automatically countable noun husika lazima ifuatiwe na kitenzi katika wingi.
So unaona hata sisi hapa tunabishana kuhusu hiyo inaonekana ni technical sana, kwa hiyo katika kiingereza cha kuongea yupo sahihi, na hata kama hayupo sahihi bado sio suala kubwa kiasi kukosoa kuwa hajui kiingereza
 
Hivi si ndiyo Wewe Jana ulisema HUNIPENDI sasa inakuwaje kila nikiletacho hapa JF ni lazima ukisome? Nikuelewe vipi? Kwanini 'Usinibloku' tu ili uendelee Kuwasoma unaowaita 'Werevu' Wenzako?

Kinachowateseni na Kuumia zaidi nami ni Mwenyezi Mungu kuniumba kuwa " Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " hivi.

Leo naona umekuja 'Kiadabu' sana tu.
Mhh, mtanikuta mbele nawasubiria

Sent from my TECNO BC2c using JamiiForums mobile app
 
Hapo unaendelea kuwapeleka shimoni. Vitu visivyohesabika ni mchanga, maji na mwazo yasiyoisha (infinity continuity). Kama wewe ni mtaalamu wa lugha hasa kiingereza hebu weka mapendekezo yake katika lugha halisia ya 'Wales' (Native English) ili somo lieleweke vema kama mfano katika utungaji wa sentensi Uwezo mzuri wa kuongea au kuandika kwa kutumia lugha ya kiingereza kunategemea kuwa ni sharti iwe ndio lugha yako ya kwanza kwa mawasiliano na kufikiria badala ya kutumia kimatengo kufikiria unahamishia kwenda kiswahili kisha ndio unapeleka namna ulivyofikiria, kuelewa, kutafisiri na kuamua hicho kilichojitengeza ndio kinapaswa kuzungumzwa. Ni bora wakati unaandika unaweza ukatumia 'proofreading' grammar and spelling correction' kupiga msasa ujumbe wako.

Tatizo ni kwamba ni lugha yako ya kwanza ambayo hata mama na baba walikukuza kufanya mawasiliano ya siku kwa siku. Pili lugha hiyo ndio unayotumia kufikiria, kuelewa na kutafsiri kabla hujatamka au kuandika?

Native English
A "native speaker of English" refers to someone who has learned and used English from early childhood. It does not necessarily mean that it is the speaker's only language, but it means it is and has been the primary means of concept formation and communication.

Katika nchi za Afrika Uganda ndio inaongoza kwa watu wake kuongea kwa kiingereza fasaha ijapokuwa kinaharibiwa na lafudhi ya makabila yao.

Afrika Kusini inayofuatia kwa kuongea kiingereza fasaha kiasi, kasoro lafudhi ya kikabila na kiiafrikaner

Inayofuata ni Nigeria ijapokuwa nao lafudhi na maneno ya kienyeji huchanywa sana

Malawi, Zambia na Zimbabwe ziko kwenye nafasi sawa kwa kuongea kiingereza kinachoshabihiana, kilichonyooka na ufasaha kiasi

Kenya wanaongeza kwa kujiamini lakini hakina ufasaha wa mzizi wa lugha halisia kutokana na majivuno na athari za lugha za kienyeji

Tanzania haiko kwenye kumudu matumizi ya lugha ya kiingereza kama taifa kutokana na kufikiri, kuelewa na kutafsiri kwa kutumia lugha ya mama na Kiswahili kisha kutafsiri neno kwa neno kwa mfuatano wa maneno katika lugha ya kiingereza hivyo kupoteza mantiki. (watu wachache sana ama waliosoma wakati nchi inapata uhuru au walienda nje kusoma au kufanya kazi kwa muda mrefu kisha kurejea hao kwa vyotevyote vile huko walikokuwa walikuwa wanafikiri, kuelewa na kutafsiri kwa kutumia lugha ya ughaibuni.
20230819_153214.jpg
 
Back
Top Bottom