TANZIA Dkt. Abraham Katesigwa afariki dunia wilayani Ngara

TANZIA Dkt. Abraham Katesigwa afariki dunia wilayani Ngara

Ss Jr

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2018
Posts
577
Reaction score
451
Dr Abraham Katesigwa wa Tumaini Health Center, katika mji mdogo wa RULENGE NGARA alifariki dunia Jana tarehe 01/03/2021 katika Hospital ya mission RULENGE tatizo lililopelekea kifo chake ni kuugua ghafla na kushindwa kupumua.

"Hakika tulikupenda zaidi" Mazishi yamefanyika leo tarehe 02/03/2021.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, Jina la Bwana lihimidiwe Amina.

Screenshot_20210302-174106.jpg
Screenshot_20210302-175203.jpg
 
Pigo kubwa sana kwa wananchi wanyonge wa Ngara. RIP Dr. Abraham Katesigwa

TUMAINI HEALTH CENTRE
This health centre is located in Rulenge town and it was established in 1996 by Dr. Abraham Katesigwa who was later got support from MAG with spectacles, syringes, bandages, gauzes and other clinical equipments. Health – Marafiki wa Afrika Tanzania

Tumaini-Health-Centre.png
 
Corona inaonea tu watu inatakiwa impige mkuu wa kambi mwenyewe adedi
 
Kwa muonekano tu huyu atakuwa alikuwa na changamoto nyingi za kiafya. RIP Dr.

Kwa bandiko lako utakuwa ni mwanga. Kama si leo basi angalau uzeeni. Bandiko kama hili ni sahihi kuungwa mkono na wanga wenzio tu.

Kwenu huyu kufa ni sawa. Ndiyo ilivyo haswa hulka ya wanga wote.

Apumzike kwa amani Dkt. Katesigwa.
 
Kwa bandiko lako utakuwa ni mwanga. Kama si leo basi angalau uzeeni. Bandiko kama hili ni sahihi kuungwa mkono na wanga wenzio tu.

Kwenu huyu kufa ni sawa. Ndiyo ilivyo haswa hulka ya wanga wote.

Apumzike kwa amani Dkt. Katesigwa.
Kifo hakiangalii wanaowanga au watu gani, sote tutakufa kila mtu kwa siku yake. Kwanini mnaogopa kifo hivi?!

Kupunguza vitambi nayo hata kwa kufanya mazoezi mnasubiri mpaka rais atoe tamko?!
 
Back
Top Bottom