Kifo hakiangalii wanaowanga au watu gani, sote tutakufa kila mtu kwa siku yake. Kwanini mnaogopa kifo hivi?!
Kupunguza vitambi nayo hata kwa kufanya mazoezi mnasubiri mpaka rais atoe tamko?!
Nani kakwambia tunaogopa kufa?
Unatambua tofauti ya kuogopa kufa na kutokimbilia kufa?
Wanaoogopa kufa ni wale waliotanguliza mitutu na walinzi kede kede kuwalinda huku wakitwambia sisi tumtangulize Mungu.
Au nasema uongo ndugu zangu?