TANZIA Dkt. Abraham Katesigwa afariki dunia wilayani Ngara

TANZIA Dkt. Abraham Katesigwa afariki dunia wilayani Ngara

Kwa bandiko lako utakuwa ni mwanga. Kama si leo basi angalau uzeeni. Bandiko kama hili ni sahihi kuungwa mkono na wanga wenzio tu.

Kwenu huyu kufa ni sawa. Ndiyo ilivyo haswa hulka ya wanga wote.

Apumzike kwa amani Dkt. Katesigwa.
Hivi huwa hujitambui kuwa wewe ni mchawi
 
Una maana huyu si wa kulaumu:

View attachment 1715741

Ila wa kupongezwa?

Something must be very wrong somewhere.
Wwe lazima utakua ulijenga Nyumba yako karibu na barabara,alafu Magu akapita nayo! Unamchukia sana Baba wa Watu bila sababu za msingi,embu punguza chuki kidogo kwa Raisi wako!!
 
Wwe lazima utakua ulijenga Nyumba yako karibu na barabara,alafu Magu akapita nayo! Unamchukia sana Baba wa Watu bila sababu za msingi,embu punguza chuki kidogo kwa Raisi wako!!

Huyu namchukia kwa sababu hizi hapa. Wala usipate taabu ya kupiga ramli:

IMG_20210214_214251_251.jpg

Si mimi peke yangu jombi tupo lukuki.

Kwa kunichulia kufa miye na washirika wangu sina haki ya kumchukia mtu kama huyo?
 
Huyu namchukia kwa sababu hizi hapa. Wala usipate taabu ya kupiga ramli:

View attachment 1716162

Si mimi peke yangu jombi tupo lukuki.

Kwa kunichulia kufa miye na washirika wangu sina haki ya kumchukia mtu kama huyo?
Wwe shida yako kumbe hutaki kulipa kodi!? Kama hutaki kulipa kodi Serekalini achana na Mambo ya biashara au kazi za kuajiriwa,mbona kuna Watanzania kibao wanaishi bila kulipa kodi na hawamili chochote! Ndg yangu ukimiliki hata gari Kodi haikwepiki! Lipa Kodi kwa Maendeleo ya Nchi yako,kua Mzalendo!!
 
Kwa muonekano tu huyu atakuwa alikuwa na changamoto nyingi za kiafya. RIP Dr.
... inawezekana lakini sababu ya kifo ni kile kisababishi cha mwisho kilichopelekea kifo cha mhusika. Huwezi kuua halafu ukajitetea eti kwanza marehemu alikuwa mgonjwa wa muda mrefu wa ukimwi au kansa na kwamba daktari alishatahadharisha asingeweza kuishi zaidi ya miezi mitatu kwa hatua ambayo kansa ilikuwa imefikia.

Bado mwisho wa siku muuaji ni wewe tu regardless of his/her cancer level! Huyo daktari kafa kwa COVID-19 period!
 
Back
Top Bottom