Hajali, anachapa kazi anatuambia tumuombee tusifeDikteta sijui anajisikiaje akiona hivi
Dikteta sijui anajisikiaje akiona hivi
Yeye ndiyo inatakiwa impateHajali, anachapa kazi anatuambia tumuombee tusife
Yeye anitwa dikteta?Matatizo yako ya kiafya una mlaumu vipi magufuli?
Hapo ni ngumu kujua anachukuliaje kifo cha Daktari mwenzakeDikteta sijui anajisikiaje akiona hivi
Usihofu bado zamu yakeCorona inaonea tu watu inatakiwa impige mkuu wa kambi mwenyewe adedi
Dikteta naye ni dr?Hapo ni ngumu kujua anachukuliaje kifo cha Daktari mwenzake
Kwa muonekano tu huyu atakuwa alikuwa na changamoto nyingi za kiafya. RIP Dr.
Kifo hakiangalii wanaowanga au watu gani, sote tutakufa kila mtu kwa siku yake. Kwanini mnaogopa kifo hivi?!Kwa bandiko lako utakuwa ni mwanga. Kama si leo basi angalau uzeeni. Bandiko kama hili ni sahihi kuungwa mkono na wanga wenzio tu.
Kwenu huyu kufa ni sawa. Ndiyo ilivyo haswa hulka ya wanga wote.
Apumzike kwa amani Dkt. Katesigwa.
Ugonjwa walete wengine,lawama atupiwe mwingine.chukua tahadhari mkuu,corona inaua.Yeye ndiyo inatakiwa impate