Kifo hakiangalii wanaowanga au watu gani, sote tutakufa kila mtu kwa siku yake. Kwanini mnaogopa kifo hivi?!
Kupunguza vitambi nayo hata kwa kufanya mazoezi mnasubiri mpaka rais atoe tamko?!
Ugonjwa walete wengine,lawama atupiwe mwingine.chukua tahadhari mkuu,corona inaua.
Israili really letting us downCorona inaonea tu watu inatakiwa impige mkuu wa kambi mwenyewe adedi
For sureIsraili really letting us down
Na changamoto ya kupumua inapenda kupiga huko hukoKwa muonekano tu huyu atakuwa alikuwa na changamoto nyingi za kiafya. RIP Dr.
Unawezaje kujua Afya ya mtu kwa kumuangalia kwa macho???.Kwa muonekano tu huyu atakuwa alikuwa na changamoto nyingi za kiafya. RIP Dr.
Yupi huyo?Dikteta sijui anajisikiaje akiona hivi
Kitambi ndilo pango la kisukari na shinikizo la damu. Usilee kitambi, ni adui mkubwa wa afya yako.Na changamoto ya kupumua inapenda kupiga huko huko
Kama una macho ya kuona utajua. Ishara/dalili za magonjwa mengi (si yote) zinaonekana hata kwa macho.Unawezaje kujua Afya ya mtu kwa kumuangalia kwa macho???.
si wakulaumiwa,sijaona hoja yenye nguvu ya kunifanya nimlaumu.unaweza kunipa hoja zenye nguvu 3 tu ,zinazofanya wewe utupe lawama zote kwake?!!Una maana huyu si wa kulaumu:
View attachment 1715741
Ila wa kupongezwa?
Something must be very wrong somewhere.
Kumbe magufuli ni dikteta eehh!! 😇Matatizo yako ya kiafya una mlaumu vipi magufuli?
Najua ilisaidia ndio.sasa wapi ulisikia anapiga marufuku hayo yasifanyike!!??mi nadhani ni mindset ndo shida,watu mmezoea kila Jambo mpaka uambiwe ,au ulazimishwe kufanya hata Kama nikwa faida yako.nonsense...!!! Kama unajua afya nikwa faida yako ,kwa nn usichukue tahadhari binafsi!!?? Serikali ilitoa mwelekeo mwanzo ,kunawa mikono,kuvaa barakoa, social distance,jifukize n.k, Nini kipya zaidi kinahitajika ? chukua tahadhari corona inaua, enough.njaa yako mwenyewe. unataka mpaka ulazimishwe kula!!??Lazima lawama zimpate hakuna hamasa wananchi wapo wapo tu, waka jana ilikuwa huwezi kuingia stand, office za umma bila kunawa na kupimwa joto, ilisaidia sn.
Anadai barakoa zinazotoka nje haziaminiki huenda zina corona,hajui wale wazungu walijazana zenji January wametuachia upupu.Matatizo yako ya kiafya una mlaumu vipi magufuli?
Ohooo.Nani kakwambia tunaogopa kufa?
Unatambua tofauti ya kuogopa kufa na kutokimbilia kufa?
Wanaoogopa kufa ni wale waliotanguliza mitutu na walinzi kede kede kuwalinda huku wakitwambia sisi tumtangulize Mungu.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Wwe uko brain washed na Corona,hata Mtu akifumaniwa hapo mtaani kwenu bado utazani chanzo Cha fumanizi ni Corona!!Yeye ndiyo inatakiwa impate
Na zamu yako lini!?Usihofu bado zamu yake