Dkt. Allan Kijazi, Katibu Mkuu Maliasili na Utalii na DG TANAPA - Confusion

Hizo ni hisia zako
 
Hizo ni hisia zako

..mtoa mada anaweza kuwa ameandika hisia zake.

..kwa mfano, Mama kamteua Balozi wetu wa Japan kuwa Katibu Mkuu kiongozi.

..Je, ina maana huyu Katibu kiongozi bado ni balozi Japan?

..nani anatekeleza majukumu ya balozi wetu Japan?

..ninavyoelewa mimi, kwa kipindi hiki cha mpito kabla Mama hajateua balozi wa Japan, afisa anayefuatia kimadaraka ktk kituo hicho atakaimu nafasi ya balozi.

..tukirudi kwenye mada; nafasi ya DG wa Tanapa itakaimiwa na mmoja wa senior directors mpaka pale DG mpya atakapoteuliwa.

..Kijazi ni KM Maliasili hawezi tena kufanya kazi za DG wa Tanapa.

NB:

..ngoja tutafute msaada wa wanasheria wetu Petro E. Mselewa , Pascal Mayalla
 
Nafasi yake ya u DG hajawahi kutengeliwa yeye bado ni DG wa TANAPA na KM katika organogram yao kuna Deputies wawili ambao wana report kwa DG. Kumbuka wakati JPM anamteuwa kuwa Katibu Mkuu msaidizi bado aliendelea kama DG na akasema hajaona wakum replace. Hivyo mama amemkuta yeye kama DG na Naibu Katibu Mkuu then akam promote to PS and in the meantime hold is position as DG. Big confusion
 
Akiwa NKM maliasili na utalii alikuwa DG wa tanapa kwa muda tu enzi za jiwe
 
Bro siyo kila kitu lazima wanasheria wakusaidie sasa kama hapa unataka mwanasheria wa nini? Hivi huna hata elementary knowledge ya structure ya mashirika ya umma. Mimi ndio nakuambia sasa Kijazi bado ni DG na KM
 
We ni kilaza kweli hili sio swala la kisheria ni swala la utashi tu.pasco atakushauri nini hapo
 
Mwakilema ni Deputy DG anaeshughulika Conservation na Community.
Structure ya TANAPA ina Deputy DG's wawili, mmoja wa conservation na mweingine wa corporate issues
Hapa kuna conflict of interest katika hivyo vyeo vyote viwili alitakiwa aachie huo uDG kwani ameutumikia kwa muda mrefu sana. Au hakuna mtu mwingine wa kuiendesha Tanapa!
 
Bro siyo kila kitu lazima wanasheria wakusaidie sasa kama hapa unataka mwanasheria wa nini? Hivi huna hata elementary knowledge ya structure ya mashirika ya umma. Mimi ndio nakuambia sasa Kijazi bado ni DG na KM

..kaka samahani.

..ulichokieleza kimenichanganya ndio maana nimeona nitafute msaada wa wanasheria.

..tuko hapa kuelimishana.

..Sasa kuna baadhi wanaelewa haraka.

..Na kuna wengine kama mimi ni wagumu kidogo kuelewa.
 
Shida ulianza na ubishi huku ukiwa umekiri mwenyewe kwamba wewe ni mgumu kuelewa
 
Kwani aliyemteua kushika hizo nafasi mbili anasemaje?
 
Shida ulianza na ubishi huku ukiwa umekiri mwenyewe kwamba wewe ni mgumu kuelewa

..mimi ninavyoelewa mtu anapoteuliwa wadhifa mpya basi AUTOMATICALLY anaachia wadhifa aliokuwa nao.

..na katika kuachia anamkabidhi ofisi mhusika atakayekaimu mpaka mamlaka zitakapofanya uteuzi wa nafasi hiyo.
 
Lukuvi enzi za jk alikuwa mbunge kwao na RC dodoma, Dr Abas enzi za jpm alikuwa msemaji wa serikali na KM wizara ya habari,ni ujinga wa mamlaka za uteuzi tu
 
Mbona mama mwenyewe ni Rais na mgawaji mkuu wa mashuka 200 kwa wagonjwa, na maisha yanaenda.
 
..mimi ninavyoelewa mtu anapoteuliwa wadhifa mpya basi AUTOMATICALLY anaachia wadhifa aliokuwa nao.

..na katika kuachia anamkabidhi ofisi mhusika atakayekaimu mpaka mamlaka zitakapofanya uteuzi wa nafasi hiyo.
Mkuu
Ni kweli jamaa anarekodi ya kipekee ya kuwa yeye DG na yeye pia PS. Sasa hii ina maana yeye pia ana ji supervise mwenyewe !

Pale Tanapa wapo watu kwa rank zao, ni Deputy DG nk.
Hili kosa alilianza Jiwe alipomteua kuwa Naibu PS huku akiendelea kuwa DG.

Nina uhakika soon Madame Samia ataijaza nafasi ya DG.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…