Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817
- Thread starter
- #41
Afadhali kama nawe unalijuwa hilo mana kuna vilaza humu ndani wanabisha kitu wasicho kijuwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii sio mfano haiKwani yuko peke yake? Mbona hata Msigwa ni Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu wakati huohuo ndio msemaji mkuu wa Serikali ,kuna wengi kweli nchi hii
Dr Allan Kijazi ni Director General wa Tanzania National Parks na wakati huo huo ni Katibu Mkuu wa wizara ya Mali Asiili na utalii. K Kabla ya hapo alikuwa Naibu Katibu Mkuu na Mh Samia Suluhu akam promote kuwa PS kichukua nafasi ya Aloyce Nzuki. Kwanza mimi nampongeza kwa uteuzi ila naona kama kuna mgongano wa kimajukumu.
1. Moja ya kazi za PS nikusimamia taasisi zilizo chini ya wizara yake kama accounting officer wa Wizara husika ambapo ana deal moja kwa moja na CEO's wa haya mashirika.
2. Kwenye kuunda Bodi za mashirika baada ya mwenyekiti kuteuliwa na Rais basi wajumbe wote huteuliwa na Waziri kwa kushirikiana na Katibu Mkuu wa Wizara na wataalamu wengine.
SWALI? Sasa hapa inakuwaje Dr Kijazi aendeshe Shirika kama TANAPA then kwenye vikao vya Bodi aingie kama mjumbe/Katibu ambae ndio DG na pia Ex-officio kama katibu Mkuu halafu akawe questioned na wajumbe ambao yeye amehusika kwenye kuwateua???
Lakini pia CEO wa shirika ndiyo anae present report ya Shirika ambapo wakati huo huo ni Katibu Mkuu
Hii imekaaje wadau
Allan kijazi ni muadilifu wa hali ya juu. I know the guy so well. Ana stahili
Heko mkuu kwa mada yako fikirishi.Dr Allan Kijazi ni Director General wa Tanzania National Parks na wakati huo huo ni Katibu Mkuu wa wizara ya Mali Asiili na utalii. K Kabla ya hapo alikuwa Naibu Katibu Mkuu na Mh Samia Suluhu akam promote kuwa PS kichukua nafasi ya Aloyce Nzuki. Kwanza mimi nampongeza kwa uteuzi ila naona kama kuna mgongano wa kimajukumu.