Dkt. Allan Kijazi, Katibu Mkuu Maliasili na Utalii na DG TANAPA - Confusion

Afadhali kama nawe unalijuwa hilo mana kuna vilaza humu ndani wanabisha kitu wasicho kijuwa
 
Allan kijazi ni muadilifu wa hali ya juu. I know the guy so well. Ana stahili
 
Kwani yuko peke yake? Mbona hata Msigwa ni Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu wakati huohuo ndio msemaji mkuu wa Serikali ,kuna wengi kweli nchi hii
Hii sio mfano hai

Mleta mada ameelezea vizuri sana na ameainisha kwa kina namna mgongano wa kimaslahi ulivyo mada yake
 
Kwanza huu ni upuuzi, mtu anakuaje na vyeo viwili kwenye wizara moja. Mimi sijawahi ona kabisa.
Kwani hakuna watu wengine wenye uwezo wa kazi ya DG? Hii nchi ya viwonder kweli kweli

 
Allan kijazi ni muadilifu wa hali ya juu. I know the guy so well. Ana stahili

With the highest level of integrity that you have pointed out, still does't endorse him to embrace two government positions.
 
Heko mkuu kwa mada yako fikirishi.

Huenda wateuzi hawajaliangalia hili kwa undani wake; na inawezekana wakawa wamepitiwa.

Mada yako hii inaweza ikawashtua kufanya marekebisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…