Dkt.Ayob Rioba: Tulipigiwa simu tuondoke TBC kwamba kuna watu wanakuja kutuvamia Oktoba 29

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa TBC, Ayob Rioba akizungumza katika mahojiano yaliyorushwa na A &S podcast amesema Na TBC ilikuwa victims kwa sababu ndio iliyokuwa inatangaza matokeo na taarifa zingine.

Namnukuu

"Watu wanazungumza violence, hivyo wanafikiri violence ni sarcas au ni fiesta? Sisi ni mojawapo ya watu tuliokuwa victims.

Tulikuwa tunapigiwa simu—mimi mwenyewe nimepigiwa simu—naambiwa, 'Doctor, eh, hapo TBC tokeni, tokeni! Kundi kubwa linakuja, tokeni.' Umeelewa eh?
Na mimi ndio niliyewaambia watu wangu kwamba, 'Kwa hali ninayoiona...' Kwa sababu nime-observe, nikaangalia, nikasema, 'Hapana, watu wetu hawatakuwa safe.' Sisi watu wetu—nyinyi labba hamkusoma kwenye mitandao—wametajwa kwa majina.

Na tulikuwa victims kwa sababu TBC ndio iliyokuwa inatangaza matokeo na taarifa zingine.
Wamewatishia kwamba eti wanakuja... Sasa unakuja kwenye chombo cha habari unakuja kufanya nini kwa mfano? Si ndio? Halafu watu hao wanaokutishia nyinyi, halafu nyinyi muwe pale nje eti mnachukua matukio yao eti mwende mkairushe.

Sasa mimi... Wapo pale wanachoma vituo vya mafuta, alafu mimi eti nachukua alafu nakuja narusha kwenye TBC ili isaidie nini?"

Pia soma PostGE2025 - Ayub Rioba: Mlitaka turipoti nini Oktoba 29? Kwamba angalia hapa wanavyochoma? au tukaripoti angalia wanavyopigwa risasi?

Yaani mtu wa mfumo unapandisha kisukari kabisa na kutoa ushahidi kwamba kulikua na upigwaji watu risasi!!?

Comrade what is this!!

Nimeamini, desert mission ulikua mtego ambao hat wenye akili ndani ya chama walishindwa kuuepuka!!

Kwasasa tunatumia nguvu kubwa kuzima sakata Hilo kuliko hata maendeleo!

Kazi na utu,tunasongambele!!
 
Aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa TBC, Ayob Rioba akizungumza katika mahojiano yaliyorushwa na A &S podcast amesema Na TBC ilikuwa victims kwa sababu ndio iliyokuwa inatangaza matokeo na taarifa zingine.

Namnukuu

"Watu wanazungumza violence, hivyo wanafikiri violence ni sarcas au ni fiesta? Sisi ni mojawapo ya watu tuliokuwa victims.

Tulikuwa tunapigiwa simu—mimi mwenyewe nimepigiwa simu—naambiwa, 'Doctor, eh, hapo TBC tokeni, tokeni! Kundi kubwa linakuja, tokeni.' Umeelewa eh?
Na mimi ndio niliyewaambia watu wangu kwamba, 'Kwa hali ninayoiona...' Kwa sababu nime-observe, nikaangalia, nikasema, 'Hapana, watu wetu hawatakuwa safe.' Sisi watu wetu—nyinyi labba hamkusoma kwenye mitandao—wametajwa kwa majina.

Na tulikuwa victims kwa sababu TBC ndio iliyokuwa inatangaza matokeo na taarifa zingine.
Wamewatishia kwamba eti wanakuja... Sasa unakuja kwenye chombo cha habari unakuja kufanya nini kwa mfano? Si ndio? Halafu watu hao wanaokutishia nyinyi, halafu nyinyi muwe pale nje eti mnachukua matukio yao eti mwende mkairushe.

Sasa mimi... Wapo pale wanachoma vituo vya mafuta, alafu mimi eti nachukua alafu nakuja narusha kwenye TBC ili isaidie nini?"

Pia soma PostGE2025 - Ayub Rioba: Mlitaka turipoti nini Oktoba 29? Kwamba angalia hapa wanavyochoma? au tukaripoti angalia wanavyopigwa risasi?

View attachment 3638112
Huyu mzee nafsi inamuuma
 
Alivyo mnafiki anazungumzia kuunguzwa vituo vya mafuta tu na si kuuwawa kwa watu.
 
Back
Top Bottom