Dkt. Ayoub Ryoba leo utanisamehe kwani Wewe ni Mwalimu wangu, Poti wangu na nakubali mno IQ yako, ila nakusema bila Aibu

Ni kujipendekeza tu na uchawa hakuna kingine cha zaidi
 
Ni hela yako tu hata wewe kanunue airtime hata masaa matatu birthday yako
 
Hii iende pasipo kupubguza makali. Azam wame cover muda mrefu huku TBC haipo inafanya mambo ya birthday ni aibu, sasa kila kiongozi birthday yake iwe full covered, Rais awakemee hili mnafanya hujuma ya kisaikolojia kwake kila wakati unampigia makofi aceni afanye kazi. Ebo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…