Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni hela yako tu hata wewe kanunue airtime hata masaa matatu birthday yakoHivi inawezekanaje TBC1 kama Chombo cha Taifa kinatoa Kipaumbele kwa Saa zaidi ya Mbili (Masaa Mawili) Watangazaji wake kuonyesha Viongozi wa Mikoa (RC's) na Wenyeviti wa CCM Mikoa wakimsifia Rais Samia katika 'Birthday' yake leo huku ukijua kabia kuwa kuna Mkutano mkubwa Tanzania na Watanzania tungependa kujua mengi yatakonayo na huo Mkutano wa Nishati kuliko Upuuzi wa 'Birthdays' za Uzeeni za Ubabu na Ubibi?
Poti wangu / Mwetu wangu Dkt. Ayoub Ryoba na Mwalimu wangu Siku hizi umekumbwa na nini Kaka? Asali imekunogea?
Hii iende pasipo kupubguza makali. Azam wame cover muda mrefu huku TBC haipo inafanya mambo ya birthday ni aibu, sasa kila kiongozi birthday yake iwe full covered, Rais awakemee hili mnafanya hujuma ya kisaikolojia kwake kila wakati unampigia makofi aceni afanye kazi. EboHivi inawezekanaje TBC1 kama Chombo cha Taifa kinatoa Kipaumbele kwa Saa zaidi ya Mbili (Masaa Mawili) Watangazaji wake kuonyesha Viongozi wa Mikoa (RC's) na Wenyeviti wa CCM Mikoa wakimsifia Rais Samia katika 'Birthday' yake leo huku ukijua kabia kuwa kuna Mkutano mkubwa Tanzania na Watanzania tungependa kujua mengi yatakonayo na huo Mkutano wa Nishati kuliko Upuuzi wa 'Birthdays' za Uzeeni za Ubabu na Ubibi?
Poti wangu / Mwetu wangu Dkt. Ayoub Ryoba na Mwalimu wangu Siku hizi umekumbwa na nini Kaka? Asali imekunogea?