Dkt. Bashiru alistahili viboko na si kuwa Mbunge

Mtu wa Asali

Senior Member
Joined
May 9, 2022
Posts
152
Reaction score
292
Mwalimu wangu huyu kuna kipindi aliwahi kunifanya nikarudia mtihani yaani supplementary baada ya kutoa mfano wa serikali ya CCM kwenye swali la mtihani.

Sitaki kusema huu ndiyo uwe mwanzo wangu, ila nilifanikiwa kumuona akiwa katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa yale aliyoyafanya na watu wote mlishihudia kuna wakati nilijiuliza kuwa ni yeye au ni copy yake hii.

Dkt. Bashiru alikuwa zaidi ya neno hovyo, hekima na maarifa viliondoka akawa anaishi mithili ya mpiga debe wa Tandika kuna wakati ilifika tuliogopa kusema yule ni mwalimu wa chuo kikuu.

Bashiru hana moral authority ya kusema jambo lolote lile kwenye mipaka ya nchi hii kwasasa moja aombee msamaha wanafunzi wake tuliowahi kupitia maumivu ya chuki zake, na pili anyamaze milele itampendeza kuliko kuendelea kuonyesha ubovu wa kichwa chake.
 
Bashiru hana moral authority ya kusema jambo lolote lile kwenye mipaka ya nchi hii kwasasa moja atuombee msamaha wanafunzi wake tuliowahi kupitia maumivu ya chuki zake, na pili anyamaze milele itampendeza kuliko kuendelea kuonyesha ubovu wa kichwa chake.
Huyu si mpuuzi tu!
 
Huyu mzee Bora angejinyazia ingemsaidia lakini kwa kuwa nyuma ya key board Kuna issue na kina sukuma gang lazima tutamsikia Sana jukwani
 
Mwalimu wangu huyu kuna kipindi aliwahi kunifanya nikarudia mtihani yaani supplementary baada ya kutoa mfano wa serikali ya CCM kwenye swali la mtihani.

Sitaki kusema huu ndiyo uwe mwanzo wangu, ila nilifanikiwa kumuona akiwa katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa yale aliyoyafanya na watu wote mlishihudia kuna wakati nilijiuliza kuwa ni yeye au ni copy yake hii.

Dkt. Bashiru alikuwa zaidi ya neno hovyo, hekima na maarifa viliondoka akawa anaishi mithili ya mpiga debe wa Tandika kuna wakati ilifika tuliogopa kusema yule ni mwalimu wa chuo kikuu.

Bashiru hana moral authority ya kusema jambo lolote lile kwenye mipaka ya nchi hii kwasasa moja aombee msamaha wanafunzi wake tuliowahi kupitia maumivu ya chuki zake, na pili anyamaze milele itampendeza kuliko kuendelea kuonyesha ubovu wa kichwa chake.
Jibu I HOJA za Bashiru.

Saa mbovu Si Huwa inafika time inasema UKWELI?

Upuzi wake mwachie, alichokisema kina UKWELI?
 
Mwalimu wangu huyu kuna kipindi aliwahi kunifanya nikarudia mtihani yaani supplementary baada ya kutoa mfano wa serikali ya CCM kwenye swali la mtihani.

Sitaki kusema huu ndiyo uwe mwanzo wangu, ila nilifanikiwa kumuona akiwa katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa yale aliyoyafanya na watu wote mlishihudia kuna wakati nilijiuliza kuwa ni yeye au ni copy yake hii.

Dkt. Bashiru alikuwa zaidi ya neno hovyo, hekima na maarifa viliondoka akawa anaishi mithili ya mpiga debe wa Tandika kuna wakati ilifika tuliogopa kusema yule ni mwalimu wa chuo kikuu.

Bashiru hana moral authority ya kusema jambo lolote lile kwenye mipaka ya nchi hii kwasasa moja aombee msamaha wanafunzi wake tuliowahi kupitia maumivu ya chuki zake, na pili anyamaze milele itampendeza kuliko kuendelea kuonyesha ubovu wa kichwa chake.
Hujasema alifanya nini kibaya kwenye paragraph zote

Hii inaonyesha jinsi gani ulistahili hizo supp
 
Mwalimu wangu huyu kuna kipindi aliwahi kunifanya nikarudia mtihani yaani supplementary baada ya kutoa mfano wa serikali ya CCM kwenye swali la mtihani.

Sitaki kusema huu ndiyo uwe mwanzo wangu, ila nilifanikiwa kumuona akiwa katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa yale aliyoyafanya na watu wote mlishihudia kuna wakati nilijiuliza kuwa ni yeye au ni copy yake hii.

Dkt. Bashiru alikuwa zaidi ya neno hovyo, hekima na maarifa viliondoka akawa anaishi mithili ya mpiga debe wa Tandika kuna wakati ilifika tuliogopa kusema yule ni mwalimu wa chuo kikuu.

Bashiru hana moral authority ya kusema jambo lolote lile kwenye mipaka ya nchi hii kwasasa moja aombee msamaha wanafunzi wake tuliowahi kupitia maumivu ya chuki zake, na pili anyamaze milele itampendeza kuliko kuendelea kuonyesha ubovu wa kichwa chake.
actually alistahili hii scene
1668850744745.jpeg
 
Hawa Wakomunisti ndio waliokuwa wakimshauri Ibilisi ni washauri wabaya

Afadhali Kinana aliyemwambia Samia kuwa Wapinzani wakitimiziwa Hoja zao hawana maneno ila ajichunge na "Kijani" wenzie.
 
Mwalimu wangu huyu kuna kipindi aliwahi kunifanya nikarudia mtihani yaani supplementary baada ya kutoa mfano wa serikali ya CCM kwenye swali la mtihani.

Sitaki kusema huu ndiyo uwe mwanzo wangu, ila nilifanikiwa kumuona akiwa katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa yale aliyoyafanya na watu wote mlishihudia kuna wakati nilijiuliza kuwa ni yeye au ni copy yake hii.

Dkt. Bashiru alikuwa zaidi ya neno hovyo, hekima na maarifa viliondoka akawa anaishi mithili ya mpiga debe wa Tandika kuna wakati ilifika tuliogopa kusema yule ni mwalimu wa chuo kikuu.

Bashiru hana moral authority ya kusema jambo lolote lile kwenye mipaka ya nchi hii kwasasa moja aombee msamaha wanafunzi wake tuliowahi kupitia maumivu ya chuki zake, na pili anyamaze milele itampendeza kuliko kuendelea kuonyesha ubovu wa kichwa chake.
Amefanyaje mkuu!??
 
Huyu mzee Bora angejinyazia ingemsaidia lakini kwa kuwa nyuma ya key board Kuna issue na kina sukuma gang lazima tutamsikia Sana jukwani
Leo hii kinyago mlicho kichonga wenyewe kinawatisha??????!!!!....... ajabu hii.
 
Kwani bashiru amesema nn mnk hata sijaona alichosema
 
Back
Top Bottom